mark mwandosya

Mark James Mwandosya (born 28 December 1949) is a Tanzanian CCM retired politician and a former Member of Parliament for Rungwe East constituency.

View More On Wikipedia.org
  1. Kweli duniani wawili wawili, Nape ni kama kopi ya Mwanasiasa Profesa Mark Mwandosya

    Ila sishangai hata Mimi GENTAMYCINE Watu wengi wananiambia nafanana ile mbaya na Bondia Mkongwe Mike Tyson. Pia soma: Nape Nnauye: Nawapa pole na naomba radhi kwa kauli yangu ya ushindi nje ya boksi Nimetoka kuiangalia Clip ya Nape akiomba Radhi kwa Kauli yake ya Goli la Mkono na nikamuona...
  2. Profesa Mark Mwandosya kuwa Rais kwa kipindi kimoja, Roho Mtakatifu amenituma niseme

    Nianze kwa kusema tu sina uhusiano wa aina yoyote na Profesa Mark Mwandosya, hanijui kwa jina wala sura pia kwa upande wangu namjui kwa jina na kumuona kwenye picha na video tu hatujawahi kukutana. Ila hii sauti imeanza kuniijia kwa zaidi ya miezi sita sasa niliipuuzia lakini nimeshindwa...
  3. Prof. Mwandosya ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya EWURA

  4. Prof. Muhongo amuunga mkono Prof. Mwandosya, TCU kimya!

    Prof. Muhongo amewalima akina Doto Biteko na cohort nzima ya PhD ( P engine h ana D egree. Someni wenyewe hapa chini: "Naomba niwasaidie: comments za Prof Mwandosya zichukuliwe kwa uzito wake unaostahili. Tuko kimya siyo kwamba hatujui ukweli wa ukweli. Kwanini msiombe yafuatayo: 1. Abstract...
  5. Naomba kufahamu CV za Prof. Mark Mwandosya na Prof. Homeli David Mwakyusa

    Nianze na Profesa Mwandosya Ni mhandisi wa umeme Alisomea Japani Amefundisha vyuo vikuu vingi kwanjia ya video conference kitambo Hakusomea masters ila akawa Prof how? Alikuwa wizara moja na JK enzi za Mwinyi. Wakagombana. Mwinyi akawapatanisha JK alipokuwa waziri akamteuwa kwenye serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…