Habarini wana jamvi,
Ninahitaji mark x au brevis kwa bajeti ya milion 7 hadi 10 kutokana na ubora na model itakayopatikana.
Tafadhali, mimi ni mzoefu wa magari hivyo ukija na deal ni bora uwe serious.
Ninauhitaji wa haraka kidogo kwa ajili ya matumizi binafsi.
PM ipo wazi au unaweza kunipa...
Habari wadau, naomba kuuliza, ni ipi kati ya Mark X 2007 na Crown Athlete 2007 yenye fuel economy kuliko nyenzake?
Nafaham zote zina zinatumia engine ya 4GR japo kwa Mark X Kuna pia 2GR na 3GR ile ya Cc 3000.
Lakini hapa namaanisha ile 4GR ya cc2500 2WD na Athlete Crown yenye cc2500 2WD...
Nna gari aina mark x inasumbua sana tatizo la starter na power steering. Hasa starter. Jinsi lilivyo ukiliwasha Majira ya asubuhi litawaka vzuri ukitembea kuanzia kilometer 40 kuendelea au ukikaa barabarani kwa muda kupata lisaa 1 af ukaja ukizima halitawaki tena muda huo hio mpaka usubiri saa...
PDF pichani inaeleza kwa ufupi uzuri na ubaya wa aina za mifumo tajwa ya uendeshaji lengo likiwa kukuongoza kufanya uchaguzi sahihi wa aina ya gari unayofikiria kuagiza kulingana na matumizi yako. Pitia ujifunze zaidi
Usiharibu gari yako kwa Spacer nitafute kwanamba +255742662669 kwa sport shock-ups zasaizi yauvungu unaouhitaji katika gari yako.Kwa spare nyingine za Magari pia karibu Dukani Mwananyamala Komakoma.
Hii gari nimeipenda sana ilivyo na nafasi ndani, siti zake za nyuma zinaweza kulala kuongeza nafasi ya mizigo. Bei zake ni za kizalendo sana, nadhani kwa class yake ni gari ya bei nafuu kuliko zote. Injini ni 2.4 na inakuhakikishia power na durability. Kwanini wabongo hawajazichangamkia sana...
Make: Toyota Mark X 2006
Cc: 2490
Mileage:130,000
Seat: Leather seat 5, both front electronic
Airbag; 9
Sound and Radio: touch screen and subwoofer
Mirror: side mirror indicator
Key: push start
Price: 8,200,000
Location: Mbezi Beach Tanki Bovu
Tel: 0653 029400
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.