mark zuckerberg

  1. osu2014

    Jinsi Mark Zuckerberg alivyopagawa na vazi la Mke wa Jeff Bezos jana.

    Wakati wa sherehe ya kuapishwa kwa Rais Donald Trump tarehe 20 Januari 2025, tukio lililomhusisha Mark Zuckerberg, Mkurugenzi Mtendaji wa Meta (zamani Facebook), lilivutia sana. Video moja ilimuonyesha Zuckerberg akitazama kifua cha Lauren Sánchez, mchumba wa mwanzilishi wa Amazon, Jeff Bezos...
  2. Mr Why

    Watumiaji wengi wa TikTok Marekani wamemtusi Mark Zuckerberg kwa kumuita mjusi wakidai yeye ndiye mfitini mkubwa wa TikTok kufungiwa

    Idadi kubwa ya watumiaji wa TikTok Marekani wamemtusi Mark Zuckerberg kwa kumuita mjusi wakidai yeye ndiye mfitini mkubwa wa TikTok kufungiwa ili kampuni yake ya META iongeze watumiaji Watumiaji hao wamedai hawako tayari kutumia bidhaa za META na wengi wamefuta Application zake katika simu zao...
  3. The Assassin

    Mark Zuckerberg: Apple hawajabuni kitu chochote kwa miaka zaidi ya 20 toka Steve Jobs avumbue Iphone, wamebaki kukamua wateja

    Boss wa Meta na mmiliki wa Facebook, Instagram, Thread na WhatsApp bwana Mark Zuckerberg amesema kampuni ya Apple haina ubunifu wowote kwa zaidi ya miaka 20 baada ya Steve Jobs kuvumbua Iphone. Anasema sasa hata mauzo ya Iphone yanashuka sana na kufidia hasara ya kushuka mauzo ya Iphone, Apple...
  4. Mindyou

    Meta yatangaza kuachia wananchi uhuru wa kuhakiki maudhui ya kwenye mitandao ya Facebook, Instagram na Threads

    CEO wa Meta Mark Zuckerberg ametangaza kusitisha mfumo wa uliopo wa kuhakiki taarifa kwenye mitandao ya Facebook, Instagram na Threads ambapo kampuni hiyo sasa itaanza kutumia mfumo wa Community Notes kama ule unaotumika X Aidha Zuckerberg alitangaza mabadiliko makubwa katika sera za usimamizi...
  5. Last Seen

    Bernard Arnault, mmiliki wa kampuni ya LVMH, ammpiku utajiri Mark Zuckerberg, na kuwa mtu wa tatu kwa utajiri Duniani.

    Bernard Arnault, mmiliki wa kampuni ya LVMH, amempita utajiri mwanzilishi na mmiliki wa mtandao wa Facebook, Mark Zuckerberg, na kuwa mtu wa tatu kwa utajiri zaidi duniani. Hii inatokana na ongezeko la thamani za hisa za LVMH, kampuni inayomiliki bidhaa maarufu kama Louis Vuitton, Moët &...
  6. Mathanzua

    Why did Zuckerberg choose now to Confess?

    Why did Mark Zuckerberg choose now to confess? Monday, September 02, 2024 Consider Mark Zuckerberg’s revelation and its implications for our understanding of the last four years, and what it means for the future. On many subjects important to public life today, vast numbers of people know the...
  7. Huihui2

    Mark Zuckerberg Mmiliki wa Facebook Akiri Kuchakachua Taarifa za COVID-19 Kwa Shinikizo la Biden

    Amekiri kwa maandishi mbele ya Kamati ya Sheria ya Bunge la Marekani kuwa mwaka 2021 walikubali shinikizo la White House kuchuja baadhi ya taarifa. Full text kutoka CNN iko hapa:- https://www.cnn.com/2024/08/27/business/mark-zuckerberg-meta-biden-censor-covid-2021/index.html 1. Je hii...
  8. ward41

    Matajiri 10 wa dunia, 9 ni wa Marekani mmoja Mfaransa

    Matajiri kumi wa dunia, 9 ni wa MAREKANI mmoja MFARANSA Products zao zinajulikana. Hapo kuna google, Microsoft, Tesla, space x, Apple nk. Je, na wao wanachapisha mi dollar. Tuache kushupaza shingo, eti USA wana print dollar.
  9. JanguKamaJangu

    Bosi wa Meta Mark Zuckerberg ameomba radhi kwa familia ambazo Watoto wao waliathiriwa na Mitandao ya Kijamii

    Mkurugenzi Mtendaji wa Meta, Mark Zuckerberg ameomba msamaha kwa familia zinazosema watoto wao walidhuriwa na mitandao ya kijamii, wakati wa kikao kilichowaka moto katika Bunge la Seneti la Marekani. Bw Zuckerberg - ambaye anaendesha Instagram na Facebook - aliwageukia na kusema "hakuna mtu...
  10. BARD AI

    Elon Musk kumshtaki Mark Zuckerberg kwa kuiga mipangilio ya Twitter

    Wakili wa Elon Alex Spiro ametuma barua kwa Mark Zuckerberg akitishia hatua za kisheria, akidai kuwa Meta iliajiri wafanyakazi wa zamani wa Twitter kuunda App mpya ya Thead. Hili haishangazi, kwani Moto wa Facebook siku zote imekuwa 'Kwa nini Ubunifu Wakati Unaweza Kuiga' Tofauti na wabunifu...
  11. The Assassin

    Natabiri Elon Musk wa Tesla/Twitter kumpiga KO Mark Zuckerberg wa Facebook kwenye Pambalo lao la Masumbwi

    Matajiri wawili Duniani, Bwana Elon Musk na Mark Zuckerberg wamekubali kuzichapa kavu kavu kwenye ulingo uliofungwa, caged match siku zijazo mjini Nevada. Binafsi natabiri Elon Musk kumfumua Mark kwa KO. --- Mr Musk posted a message on his social media platform Twitter that he was "up for a...
  12. mrengo wa kushoto

    "Metaverse"....Wazo zuri linaloelekea kufa, je liko mbele sana ya muda? Kitu gani angeweza kufanya tofauti kuokoa ndoto hii?

    Kama tunavyojua Mark Zuckerberg alikuja na wazo la Facebook, Social media na kuwa peoneer katika ulimwengu wa SOCIAL MEDIA na huwezi kuongelea historia yake bila kutaja jina lake tunaweza kumuita THE FATHER OF SOCIAL MEDIA. Miaka ya hivi karibuni amekuja na wazo la "METAVERSE" Nakuwekeza sehemu...
  13. rumplelstiltskin

    Mark zuckerberg ametoka top ten

    For the first time since 2015, Facebook founder Mark Zuckerberg isn’t one of the 10 richest people in America. Zuckerberg has lost more than half his fortune—a staggering $76.8 billion—since September 2021, dropping him from No. 3 on The Forbes 400 list of the U.S.’ wealthiest people to No...
  14. The Assassin

    Facebook wabadili jina, sasa kuitwa Meta

    Hivi karibuni facebook walitangaza kuwa watabadili jina. Leo wametangaza jina lao jipya kuwa ni Meta. Meta ilikuwa initiative ya mke wa Mark, leo Facebook imebadili jina na kujiita Meta. Nguvu ya mapenzi hii. Karibu meta. --- Facebook has changed its corporate name to Meta as part of a...
  15. beth

    Facebook yashutumiwa kusababisha athari kwa watoto

    Mfanyakazi wa zamani wa Facebook, Frances Haugen amewaambia Wabunge Nchini Marekani kuwa App za Kampuni hiyo kuleta athari kwa Watoto. Facebook ni Mtandao wa Kijamii unaotumika zaidi duniani, ikiwa na watuamiaji wapatao Bilioni 2.7 kwa mwezi. Mamilioni ya watu pia hutumia WhatsApp na Instagram...
  16. Kasomi

    Historia ya kuanzishwa kwa Facebook

    Historia ya kuanzishwa kwa mtandao wa Facebook Tovuti ya Facebook ilizinduliwa tarehe 4 Februari 2004 na Mark Zuckerberg pamoja na wenzake wa Chuo Kikuu cha Harvard yaani Eduardo Saverin, Andrew McCollum, Dustin Moskovitz na Chris Hughes. Waanzilishi awali walikuwa wachache na kufanya...
  17. Miss Zomboko

    Utajiri wa Mark Zuckerberg wapotea kwa Dola bilioni 7 baada ya Mitandao yake kupata tatizo

    Utajiri wa Mwanzilishi wa Facebook, Mark Zuckerberg umeanguka kwa wastani wa USD 5.9 B hadi 7 kwenye saa ambazo mitandao ya Facebook, Instagram na Facebook ilipata tatizo la kimtandao, kwa sasa Mark yupo No. 6 kwenye orodha ya Matajiri Duniani akiwa na utajiri wa USD 116. 8 B. Kampuni ya...
  18. Kasomi

    Mark Zuckerberg atangaza kurudi hewani mitandao yake

    Mkurugenzi mtendaji na mmiliki wa Facebook ametangaza kurudi hewani kwa mitandao hiyo ambayo ni Facebook, WhatsApp, instagram na messenger ambayo inamilikiwa na facebook. Mark Zuckerberg amesema mitandao hiyo imerudi hewani saa moja lililo pita na kuwaomba radhi watumiaji wake kwa kusema anajua...
  19. Kasomi

    mark Zuckerberg apata pigo baada ya kuzima kwa Facebook, WhatsApp na Instagram

    Baada ya kukosekana kwa saa kadhaa kwa mitandao ya Facebook, WhatsApp, messanger na Instagram, mkurugenzi Mkuu wa Facebook ambayo ndio inamiliki mitandao tajwa Bwana mark Zuckerberg amepoteza zaidi ya Tshs. Trilioni 13.8 na kupelekea kushuka mpaka nafasi ya 6 ya mtu tajiri duniani akitoka nafasi...
  20. RAKI BIG

    Mark Zuckerberg aja na kitu kizuri kinaitwa Facebook Shops. Hii itatufaa sana, kila mtu atakuwa huru na biashara yake jinsi ya kuuza

    I just announced that we're launching Facebook Shops today – the basic idea is that any small business can easily start a shop to sell things directly across our apps. If you visit someone's shop, you'll be able to see that small business's story, see their featured products, and buy them in our...
Back
Top Bottom