Hapa kwangu najua mwenye shida martha kamrekodi mwenzie af yeye anaongea pole pole kujifanya hana hatia uku mwenzie akibwabwaja kwa hasira hakiwa hajui kinacho endelea
Alikuwa anajua anacho kifanya ndio maana kayafanya haya
Wambea wa Jf
Nimeisikilza hii habar mara 10 na sjjapata jibu.
Nilivoelewa n kama Joan apendi martha kuwa au kuwasiliana na mama ake.
Mlioelewa Joan n rafiki wa martha
Joan n mtoto wa martha?
Joan n mganga wa martha?
joan ni mwenza wa martha?
Joan n meneja wa martha?
Kifupi huyu joan anazuia nn...
Mama mzazi wa Martha Mwaipaja amezungumza na kuthibitisha kuwa yale yaliyosemwa na mdogo wake, Beatrice Mwaipaja kuwa muimbaji huyo wa 'Hatufanani' hamsaidii.
Akizungumza kwa uchungu kwenye mahojiano na Wemu Online TV, Mama huyo amesema alizaa watoto watatu wakiwemo Martha na Beatrice...
Mchungaji aanika machafu yote ya Martha Mwaipaja katika ukurasa wa Facebook
Mchungaji anadai Martha Mwaipaja anajihusisha na vitendo vichafu vya usa**ji) visivyokubalika ndani ya jamii ya Tanzania na kwa Africa kwa ujumla
Ushahidi: Tembelea Page hii Atuganile Mwakosya
Dada wa ICU aweka yake...
Mdogo wa Martha Mwaipaja aanika mabaya ya dada yake akidai kuwa Martha Mwaipaja ana fedha nyingi sana lakini hamsaidii mama yake vilevile akidai kuwa amejitenga na ndugu zake
Tazama Video hizi kwa utulivu
Anaandika mwakipesile mbarikiwa
Christopher & diana mwakasege pamoja na martha mwaipaya wamemshitaki mbarikiwa youtube na account ya mbarikiwa hatarini kufutwa (huo ujumbe ulio katika picha hapo chini umetoka youtube na umeeleza hayo).
Hawa na wafuasi wao ndio moja ya wahubiri wanaosema kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.