Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol amekamatwa kwa jaribio la kutangaza sheria ya kijeshi.
Tukio hili linaashiria mara ya kwanza katika historia ya Korea Kusini ambapo rais aliyeko madarakani amekamatwa
Yoon anakabiliwa na mashtaka ya uasi na ufisadi kutokana na tangazo lake la sheria ya...