Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Ujumbe wa IPU umefika gereza la Ukonga na kufanya Mazungumzo na Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu, anayeshikiliwa kwa Tuhuma za Uongo za Uhaini
Ujumbe huo umeongozwa na Katibu Mkuu wa Umoja huo wa Mabunge ya Kidunia, Bwana Martin Chungong.