Kwa wale wanaofatilia mtandao wa 𝕏 zamani Twitter hiyo battle hapo juu mtakuwa mnaikumbuka. Battle ni ya muda kidogo najua Hilo.
Nilikuwa nataka kujua chanzo ni nini? Nani aliyemuanza mwenzie kati ya Martin Maranja Masese na Sarungi? Watapatana kweli kwa maslahi ya taifa? Wakuwapatanisha ni Nani?
Katika majibizano yao huko X zamani Twitter, Martin alimshauri Evarist Chahali arudi Tanzania kuendeleza harakati za kupambanna dhidi ya CCM na sio kubeza na kuwaita Chadema waoga.
Evarist Chahali nae akamjibu Martin, mbona yeye Martin hajarudi kitengoni TISS?
Watu wakaanza kuhoji, kwanini...
Wakuu kuna CCM isiwe dhambi wala kuwa Upinzani isiwe dhambi.
Ni lini Erythrocytes au MMM wameacha kumsifia na kumtetea Mbowe?
Je, Mwenyekiti hakosei? Je, anastahili kuwepo kwenye uongozi milele?
Wanachadema hatulioni hili? Au sote ni machawa?
Kada na mwanachama wa CHADEMA, Martin Marnja Masese ametumia ukurasa wake wa Twitter kudokeza kuwa wakati wanaelekea kwenye mazishi ya mzee Ali Mohamed Kibao walikutana na dereva wa basi la Tashriff.
Kwenye tweet hiyo, MMM alisema kuwa walikutana na Tashriff express eneo la Mbwewe mkoani Tanga...
ally kibao
ally kibao auawa
chadema
haya
kada wa chadema
kamera
kuelekea 2025
kuhusu
martinmaranjamasese
maswali
mbona
polisi tanzania
sana
utekaji dar
watanzania
MWIGULU TUNAKUPUUZA WEWE SIYO NIPASHE.
Mwigulu Nchemba, lawama zako usiwape NIPASHE. Umenukuu POST yangu. Sisi ni wamiliki wa pesa zilizopo (BoT). Tunahitaji ufafanuzi wa kueleweka.
NIPASHE wamerejea. (1) ripoti za uwajibikaji 2022/23 zilizotokana na Ripoti za CAG uliofanywa na WAJIBU (2)...
Nimeisoma hii twit yake huko X naona kuna ukweli wa wazi kabisa..
God have mercy on US, tunatengeneza jamii isiyokuwa na fikra chanja na upembuaji wa mambo MTAMBUKA kwa nchi yetu.
Hii hapa twit yake;
"Taifa ambalo redioni asubuhi hadi mchana wanajadili michezo. Mchana hadi jua linapozama...
Mwenyekiti huyo, ambaye pia ni Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Kimataifa mwenye mafanikio, amekutana na Maranja Masese jijini Dar es Salaam na kufanya naye mazungumzo.
Bado haijafahamika hasa kilichozungumzwa , Japo tetesi zinadokeza kwamba Mazungumzo yao yalihusu hali ya kisiasa ya Tanzania...
Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe Martin Maranja.
Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi CHADEMA ilivyosheheni wahuni.
Chonde chonde Katibu mkuu Mnyika hebu ingilia kati nidhamu na kuheshimiwa a kurejee ndani ya chama
Ni...
Huyu jamaa ni hazina katika upinzani WA nchi hii. CHADEMA angalieni namna ya kumtafutia Jimbo ili akaongeze nguvu bungeni coming 2025.
He deserves....na haya ni maoni binafsi.
“MAGUFULI ALICHELEWA KUWA RAIS WETU.”
Tulitakiwa kuwa na JPM kabla ya miaka 20 iliyopita. Magufuli alichelewa kuwa Rais wetu kwa katiba ya kifalme/kisultan tuliyonayo. Miaka 5 na miezi 5 ilituonesha rangi za udikteta. Ingawa rangi hiyo haikufika kwa mtu mmoja mmoja, wapo walioguswa
Bado...
Na Martin Maranja Masese
“FEDHEHA MAKUBALIANO BARRICK NA SERIKALI”
Julai 2019 Barrick Gold corporation ilinunua kampuni ya ACACIA Mining Plc kwa $428M. Hii ni baada ya mjadala wa muda mrefu kati ya BARRICK na ACACIA takribani miezi 5 ya mazungumzo BARRICK na ACACIA wakakubaliana thamani ya...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, akiwa Mjini Zanzibar, amekutana na kijana wa kazi, muadilifu sana na kada mtiifu wa Chama hicho Maranja Masese.
Masese na Mbowe wamepata wasaa wa kubadilishana mawazo na mikakati , hasa ikizingatiwa kwamba Oparesheni 255 inatarajiwa kuendelea Kanda ya...
Kupitia mtandao wa X, MMM ameandika kuwa...
Taarifa kutoka kwa Adv. Philip Mwakilima na jopo; Wakili Mwabukusi na Mdude wamefikishwa Mbeya na hati yao ya mashtaka ni makosa ya UHAINI (siyo kutoa maneno ya uchochezi) kwa mujibu wa kifungu cha 39 cha kanuni ya adhabu sura ya 16. Adhabu ya kosa...
Habari ndio hio na kuna documents kabisa nimeziona twitter kwa Mdau mmoja zikionyesha hivyo na Mama anasomeka katika moja ya hizo documents.
Halafu kumbe hii kitu ilifanyika tangu mwaka jana na Mjengoni ilikuwa ni kukamilisha ratiba tu.
Kazi tunayo!!
Huyu Bwana ameandika tweets kadhaa kuhusu hiyo kampuni ya kichina na namna wanavyopewa tender huku akionyesha kumtilia mashaka/ kumshangaa waziri Mwigulu.
Binafsi sisemi mengi hapa ila natoa with kwa Mhe. Rais kuchunguza mambo hsya ambayo hata kamati husika ya Bunge inatajwa.
Baadhi ya tweets...
Huyu kijana amekuwa akijipambanua kama kijana wa karibu wa CHADEMA na kijana wa Mbowe
Aina ya siasa zake nazifurahia sasa hivi naona anaparuana na kigogo huko Twitter bila kumuogopa. Kwa anayemfahamu who is he?
Hivi ndivyo watu walivyochambua na kupinga uteuzi wa Joshua Nassari kuwa Mkuu wa Wilaya.
===
Mnazikumbuka sababu ya NASSARI kuvuliwa ubunge? Nchi zenye vetting system, kwa sababu zile za Nassari kutelekeza shughuli za Bunge na akaenda kula maisha Beverly Hills, USA, akashindwa kuheshimu kanuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.