Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine Shigella amewaamuru watendaji watatu wa Kampuni ya Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGML) kutoka nje ya ukumbi wa Kikao cha Kamisheni cha Mkoa (RCC) baada ya kutoridhishwa na majibu juu ya utoaji wa malimbikizo ya pesa za uwajibikaji wa makampuni kwa jamii (CSR) ambazo...