Umoja wa Ulaya (EU) umetangaza kuzuia ndege za shirika la ndege la Air Tanzania kuingia katika anga la nchi wanachama wake, jumla ya nchi 28, kwa madai kuwa shirika hilo halijakidhi vigezo vya kimataifa vya usalama wa anga.
“Umoja wa Ulaya leo umesasisha orodha ya mashirika ya ndege yanayozuiwa...