Wakuu,
Ila tuko na viongozi wapumbavu, mlishindwa kuwatoza fine kulingana na makosa waliyofanya, kutupa taka, sijui mavazi si tayari mna utaratibu kwenye mambo hayo?
Mmeona vijana wanafaidi sana mpaka muende kuingiza mkono wenu mambo yaharibike. Vijana wamefanya kazi nzuri kuvutia watu hapo...