Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa CCM (UWT) Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa (MCC) Mary Pius Chatanda ameshiriki zoezi la ujenzi wa nyumba ya Maria Ngoda maarufu kama 'Mjane wa Nyama ya Swala' nyumba ambayo inajengwa kutokana na jumuiya hiyo kutoa kiasi cha fedha kwa ajili ya mkono...
Wakuu,
Mary ameenda kutoa onyo hilo huku akiwa mgeni mresmi wenye hafla ya kutoa 'zawadi' kwa wananchi, si ndio yale yale ama? Au ukiongozana na kiongozi mwingine ndio inaacha kuwa rushwa?
=====
Mwenyekiti wa UWT Taifa Mary Pius Chatanda (MCC) amekasirishwa na tabia ya baadhi ya wanasiasa...
Mwenyekiti wa UWT Taifa, Ndg. Mary Chatanda (MCC) amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina imani kubwa sana na wanawake na kinaamini wanamchango mkubwa sana kwa maendeleo ya Taifa.
Chatanda amayasema hayo alipokuwa akizungumza na wananchi wa Mtaa wa Riverside, Kata ya Mwembesongo...
MWENYEKITI WA UWT TAIFA AONGOZA KONGAMANO LA MAFUNZO YA MATOKEO YA SENSA, KAHAMA, SHINYANGA
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Komredi Marry Pius Chatanda ameongoza Kongamano la Mafunzo ya Matokeo ya Sensa kwa Makundi...
Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake Tanzania UWT Ndg. Mary Chatanda akiwa ameambatana na Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji UWT Taifa, tarehe 01 Julai, 2024 amefungua Mafunzo ya usambazaji wa Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya watu na Makazi ya Mwaka 2022 Kwa viongozi na watendaji wa Makundi maalum...
Katibu wa NEC, Idara ya Organaizesheni Ndugu. Issa Haji Ussi (Gavu) tayari amewasili katika Ukumbi wa Mkuki House na kupokelewa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndugu. Mary Chatanda (MCC).
Ndugu. Gavu amefika na kuungana na UWT katika Kongamano la Kumshukuru na...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) akiweka Shada la maua kwenye Kaburi la Marehemu Shirini S. Sharifu (mtoto wa Mbunge wa Lindi Mjini Hamida Mohammed Abdallah), tarehe 18 Machi, 2024.
CHATANDA KUCHANGIA MIFUKO 50 YA CEMENT NA PESA MILIONI MOJA GEREZA LA MBOZI - SONGWE
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania Cde Mary Pius Chatanda( MCC) ameahidi kuchangia mifuko 50 ya cement na milioni Moja ya tiles Kwa ajili ya ujenzi wa jengo la matibabu katika gereza la Wilaya ya Mbozi...
UWT CHINI YA MWENYEKITI MAMA MARY CHATANDA IMEKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI KATIKA MIKOA 17, WILAYA 185 NA KATA 883 TANZANIA BARA - KATIBU MKUU JOKATE
Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu chini ya Mwenyekiti wetu Mama Mary Chatanda (MCC) wamefanya ziara za kukagua utekelezaji wa ilani ndani ya...
Ujio wako mkoa wa Kilimanjaro fedha zinaombwa kila mahali, na huna Habari fedha zinakusanywa tena Kwa fedhea kubwa.
Ulipanga safari bila kuwa na Bajeti ya safari zako mkoani Kilimanjaro? Kama utakuwa unaokota fedha Za kuomba omba Kwa watu , bora ujikalie huko uliko!
Ukitaka kuja jitegemee au...
Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake wa CCM (UWT), Mary Chatanda leo Oktoba 28, 2023 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara eneo la Darajani Mjini Magharibi Unguja amesema
Mumeo akija mpokee mwambie pole mzee na kazi, mwambie tunamtaka Samia na Mwinyi. Ukiona anakuwa mgumu msubiri saa 11 asubuhi...
Nimepigiwa simu na mdau.
Kuwa huyu mama alikuwepo Chato jana. Mbaya zaidi anasindikizwa na msafara ya polisi kana kwamba ni kiongozi wa serikali.
Baada ya Kalemani kumzawadia zawadi ya ng'ombe na mafuta ya Alizeti huyu mama na kiswahili chake cha Tanga akaanza kumpigia debe Kalemani.
Kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.