masaa ya shule

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Magical power

    KERO Shule ya Bungo Mlimani ni changamoto, wanafunzi wanachelewa kutoka

    Kuna shule ipo Morogoro mjini inaitwa shule ya msingi Bungo Mlimani. Hii shule ni kipengele sana yaani mtoto wa darasa la pili anatoka nyumbani saa kumi na mbili asubuhi anarudi nyumbani saa kumi na Moja jioni, akiwahi sana ni saa kumi jioni. Hapa mtoto anateseka sana kuanzia njaa plus uchovu...
Back
Top Bottom