Mbunge wa Jimbo la Lupa wilayani Chunya, mkoani Mbeya, Mhe. Masache Njeru Kasaka amewataka wananchi wa Jimbo hilo kuiamini Serikali Kwa kuwa imeendelea kutekeleza ahadi mbalimbali zilizoahidiwa mwaka 2020
Mbunge wa Jimbo la Lupa Wilayani Chunya amesema, Wilaya ya Chunya imetengewa fedha zaidi...