masaki

Masaki Satō (佐藤優樹, Satō Masaki) (born May 7, 1999 in Sapporo, Hokkaido) is a Japanese pop singer. She is a former tenth-generation member of the pop group Morning Musume.

View More On Wikipedia.org
  1. Video: Ni kama masihara hivi lakini polepole Mikocheni na Masaki zinaenda kutawaliwa na Wachina

    Wakuu, Kama umepita mitaa ya Mikocheni hivi karibuni utagundua kuna wachina wengi sana. Pale Ursino Street, wana hospitali kabisa ya wachina, supermarket na restaurant kubwa sana special kwa ajili yao. Kuna hoteli moja pale Mikocheni ilikuwa inaitwa Regency Park wameichukua wameifanya kuwa...
  2. Mtazamo wangu;bado Masaki ni bora kuliko Mbweni

    Nikipita Mbweni huwa najiona mjinga sana,mahekalu yale yamejengwa nayaona kabisaaa. Nimezaliwa mjini,nimekulia mjini,shule nimekwenda kiasi chake,lakini sijui nilifeli wapi kumiliki mjengo maeneo hayo. Pamoja na hayo yote,Masaki bado ni the best. Ukitaka kujua kama chuo unachosoma ni...
  3. R

    Plot available for sale in Masaki

    Plot For Sale. Location: CCM st, Kahama road, Masaki. Size: Sqm 1500. Price: USD 1.8 Million. Document: Title Deed. Contacts: 0784 829565 0767 833345 @prathlimited
  4. R

    Kuna nini kinaendelea Samaki Samaki Masaki?

    Nimeona wachina wengi sana samaki samaki kuna ishu gani inaendelea?
  5. R

    Plot for sale in Masaki

    Plot Available For Sale. Location: Kahama road, Masaki, Dar es Salaam. Size: Sqm 1200. Price: 1.5 Million USD, Fixed. Document: Ownership with Title Deed. Contacts: 0784 829565 0767 833345 @prathlimited
  6. G

    Kampuni ya ulinzi ya Risk Insight iliyopo Masaki acheni kutunyanyasa wafanyakazi wenu (Walinzi)

    Wadau, leo ni tarehe 7/01/2025. Mpk sasa baadhi ya Wafanyakazi wa kampuni hii hatujalipwa mishahara ya mwezi wa December mwaka jana, cha ajabu malipo kwa wafanyakazi yamekuwa yakifanyika kwa mafungu mafungu bila taarifa yoyote kutolewa ili kuwajulisha wafanyakazi nini kinachoendelea ndani ya...
  7. Tupeni historia ya Mbuyu wa pale kona ya kwenda Masaki, Kwanini haukatwi?

    Hivi nani anaijua Historia haswa ya ule Mbuyu wa pale ‘Mbuyuni’ kona ya kwenda Oysterbay/Masaki. Maana inashangaza vile umekaa katikati ya Barabara na haujawahi kukatwa!! Sahizi mwendokasi nao wanaukwepa kuukata sasa sijui watapitisha wapi Barabara yao?
  8. Masaki na Oysterbay : Wapangaji Wagonga Chupa! Kodi kulipwa kwa Dolari!

    Wakazi wa Masaki na Oysterbay ambao ni wapangaji kwenye nyumba za mabwanyeye wamejikuta wakishangilia na kuamshana kwenye makundi yao ya WatsApp baada ya ddola kuporomoka dhidi ya shilingi. Nyumba za Oyesterbay na Masaki nyingi zilikuwa ni za umma/serikali watu wakauziwa bei ya soda, wao...
  9. Yanga msitafute wachawi wachawi wenyewe..wale wachezaji wanarekodiwa wako bar Masaki siku 3 kabla ya mechi mkaona starehee nabado

    Yaaan shida ni maadili YAAN KUNA video zilisambaa kibaoo za Azizi pakome na baadhi ya wachezaji wakiwa bat siku tatu kabala ya mechi Aikutosha ilikuwa mechi nyingine wakaonekana wako bar Moja pale Morocco na wahuni WA like wakichezewa SEHEMU zao. Hii ya masakii pakome alilizwa dollar 5000 na...
  10. Watoto wa Masaki

    Watoto wa Masaki wanajua mboga tayari imemwagika 😀😀😀
  11. Nahitaji nyumba maeneo ya Masaki

    Kama kichwa cha habari kinavyosema wakuu. Nahitaji nyumba maeneo ya masaki ambayo ipo kwenye standard ya hali ya juu Nipo serious maana nataka niishi sehemu yenye furaha ambayo haina uswahili na naomba mnitajie bei kabisa na picha za nyumba
  12. Plot4Sale Masaki: Potential Plot For Sale - Dar

    • Direction: Haile Selasie • Plot Area: 4,200 sqm • Document: Title deed • Price: USD 3.5 million (payment in TSH accepted) • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ panafaa kwa miradi ya makazi na biashara . In Real Estate We Connect
  13. MBWA WA MASAKI NA WATANDALE WAPI WANABWEKA SANA

    Nimejikuta najiuliza tu swali hivi mbwa wa huko ushuani kama njiro,capripoint,osterbay nao wanabweka sana kama wa huku kwetu uswahilini maana huko ushuani nasikia wana majina eti mara german shephard...na wa huko wanashinda indoor well fed,wanaratiba ya kuonana na vet,lakini pia hawapati kadhia...
  14. R

    Plots, Apartments for Sale

    Apartments for Sale Nzuri sana ya kisasa, iko Mikocheni Karibu na palm village, barabarani kabisa. Fully furnished, 3 master bedroom, kuna gym na swimming pool. Inauzwa $220,000 ( Dola laki mbili na ishirini) Ina mteja analipa kodi $1500 per month, Kama mtu anataka kuhamia mteja atapewa notice...
  15. Tazama hali ya Barabara za masaki 2024! Ni aibu ya nchi

    Hali ya Barabara za Masaki. Sehemu yenye watalii wanaokuja kutembelea Tanzania, hotel za kimataifa, balozi mbali mbali.nk Wengi wakija Tanzania na kuona aina ya hiz barabara wanaona Tanzania haina uongozi na corruption imetamalaki. Wazungu uchukulia Tanzania hivyo Hiv serikali inashindwa...
  16. K

    Shopppers Masaki hawana utu kwa wateja wao

    Wakuu, Nimekusanya mahitaji yangu na kwend sehemu ya malipo na kufanya malipo kwa njia ya TIGOPESA MASTERCARDS. Nikapokea msg ya kukatwa kwa malipo niliyofanya na nikawa najiandaa kuondoka na mzigo wangu nikapigwa stop,kwamba hawajapata malipo. Nikaenda sehemu ya muhindi anayehusika...
  17. K

    Shoppers ya Masaki ni hawana Utu kwa wateja wao

    Wakuu, Tusaidiane kidogo ,Leo wakati nimekusanya vihela vyangu nikasema nipite shoppers ya MASAKI, ninunue vitu kidogo kwaajili ya mahitaji ya nyumbani. Basi nimeshafanya machaguzi ya vitu natama nikaenda sehemu ya malipo na kufanya malipo kwa njia ya SELCOM,Tigo. Malipo yalitakiwa kuwa ni...
  18. Barabara za masaki na viraka

    Kuna hili Eneo hapa Kanisa la st. Peters karibu na gate la "Security officers" Barabara imewekwa viraka juu ya viraka. kila inaponyesha mvua lazima iharibike hivi kweli mpaka mtu apate ushauri hapa JF ndio wajue pale panastahili kuwekwa zege? Mimi sio mtaalamu wa Ujenzi lakini kinachofanyika...
  19. Masaki kwa matajiri inatia aibu

    Hivi barabara ya kuelekea yatch club inatia fora,unakutana na mashimo,maandaki sehemu za huko ndiko wanakaa viongozi, Mabalozi, Wageni kutoka nje. Wengine mpaka wageni wetu wanatuliza hivi huku ndiyo wanakaa matycoon mbona njia ziko ovyo. Kingine cha ajabu hao wakandarasi wanachofanya ni...
  20. U

    Kwanini wakazi wa maeneo haya hutumia vitambaa kusafisha pua zao zinapowasha wakati wengineo hutumia mikono mitupu?

    Wadau hamjamboni nyote? Naandika na kuuliza haya siyo nakashfu ila ndiyo ukweli unaonishangaza sana Ni nadra sana kuona mtu mzima au mtoto maeneo ya Masaki, Oysterbay au Mikocheni akiingiza vidole puani ili kuondoa uchafu au muwasho bila ya kutumia kitambaa ' handkerchief' Yaani kwanini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…