Kundi la watu wanaojiita wa madhehebu ya Wasabato Masalia waliopiga kambi Dar es Salaam, wameendelea kuishi katika mazingira magumu hali iliyosababisha mmojawao kupoteza maisha.
Sambamba na kuishi katika mazingira magumu na machafu, Wasabato Masalia hao wapatao 30 walio katika kambi ya Tabata...