Kutana na 𝐌𝐓𝐀𝐋𝐈𝐈 𝐖𝐀 𝐍𝐃𝐀𝐍𝐈 Bw. Masanja Mkandamizaji akizunguka nchi nzima kukuonesha namna ambavyo 𝐓𝐚𝐧𝐳𝐚𝐧𝐢𝐚 yetu inapendeza.
Masanja anakuonesha miundombinu ya barabara, madaraja, vituo vikubwa vya mabasi na daladala, masoko nk.
Vijana sasa wameendelea kuziona fursa, neno moja lao kwa mama Rais...
Bishop Masanja Mkandamizaji amefunguka kwa uchungu.....
"Nimeona story ya Kuchomoa gari!!
ninachojua Nabii @geordavietv amewapa Magari watu Kadhaa!"
Ameendelea kusema....
"Ombi langu kwa yeyote aliyepewa gari na Nabii, kama anataka na yeye kuchoma naliomba mimi na ninalifata mwenyewe...
Wakuu,
Rais Samia ametangaza kuchangia Milioni 20 Ujenzi wa kanisani la Feel Free Church la Mchekeshaji Masanja Mkandamizaji.
Soma pia: Rais Samia Achangia Milioni 100 katika Ujenzi wa Kanisa la AICT
Samia ametangaza mchango wake huo kupitia akaunti yake ya X
Msanii, mtangazaji, na mtumishi wa Mungu, Emmanuel "Masanja Mkandamizaji" Mgaya, leo Disemba 25, ameonesha kwa mara ya kwanza maendeleo ya ujenzi wa kanisa lake jipya, Feel Free Church.
Kanisa la Feel Free Church linajengwa maeneo ya Uwanja wa Barafu, Mburahati, jijini Dar es Salaam...
Pastor Masanja akiwa kwenye kipindi kwenye redio ya EFM ameipongeza TRA kuongeza makusanyo kwa 14.5% kufikia trilioni 27.64 kwa mwaka wa fedha 2023/24 lakini amesikitishwa na uamuzi wa Serikali kupunguza faini ya kutotoa risiti ya EFD kwa wafanyabiashara kutoka milioni 15 mpaka milioni 4...
Tunajua bado mgeni kwenye kazi hivyo unatafuta kwa nguvu nyingi kuonekana umeziba pengo la waliokimbia EFM.
Nakushauri relax usitumie nguvu nyingi maana umekuwa kama unafanya vurugu.
Swaga zako za mwanawane sijui kukandamiza simeshakifu watu ulishindwa kuzirejesha na ze comedy yenu haitakuwa...
Masanja mmoja ni sawa na Kitenge, Hando na Zembwela. Masanja kaziba pengo mpaka mwanya na kashawafunika, ze comedy show yote kahamishia pale unacheka mwanzo mwisho.
Big up Majizo kwa kuwa mvumbuzi wa vipaji acha kuwang'ang'ania hao wazee hawana jipya tena.
Kuna siku baada ya ibada nilikushauri ubadili jina la kanisa maana jina lasasa lina shida na nikakwambia maneno yanaumba ila ukaniambia jina liko sawasawa na huna mpango wa kubadili. Tangu sikuile sikuja wala hatujaonana.
Iko hivi, wewe mwenyewe umewaambia waumini wako (pamoja na katibu) kuwa...
Ni aibu kubwa mno kuona jinsi gani mijitu na ndevu zao yanavyoanzisha mada kuonyesha kufurahishwa na tukio la zinaa la mke wa Masanja Mkandamizaji. Nasema tukio la zinaa kwa sababu hakuna mwanamume yeyote anayetazama upande wa pili wa marehemu mzinzi isipokuwa GENTAMYCIME pekee, bali wengine...
Masanja Mkandamizaji ameulizwa anahisi kwa nini watu wengi hawamuelewi kwa namna yake ya mahubiri amesema kuwa sababu kubwa ni kuwa kuna watu wengi wanatamani awe kama Mtumishi wao yaani afanane nao mpaka mavazi.
Amesema “Msinifananishe na mtumishi wenu bali mwambieni mtumishi wenu afanane na...
Ngoma inogile kwa wachungaji wawili maarufu wa kanisa la Pentecoste.
Mchungaji Msigwa ndio ameanza uchokozi kwa kumwambia mchungaji mwenzake yaani Masanja kwamba jana alitia aibu kwa aliyoyafanya mbele ya marais watano.
Mchungaji Masanja naye akamjibu Msigwa huko huko twittani kwamba hata...
Kauli hii ya kifedhuli ameitoa Masanja Mkandamizaji alipopewa nafasi ya kuburudisha leo hii mbele ya mamilioni ya Watanzania na wana-Afirika Mashariki kwa ujumla, waliokuwa wanafuatilia sherehe za Uhuru wa Tanganyika kupitia runinga.
Kauli hii inawabeza Watanzania wenye moyo wa kuipenda nchi...
Wakuu naona Siku Hizi MC Pilipili naye Amekuwa Mchungaji Kama Alivyo Masanja Mkandamizaji, Ministry Yake Inaitwa Wonders Sunday Service, lipo Mbezi Beach Africana [emoji3][emoji3][emoji3]
Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Masanja Mkandamizaji anamsisitiza Diamond awape mimba wanawake kutoka nchi zote Africa Mashariki.
Huyu mchungaji chenga sana, anaacha kuhubiri toba na kuacha dhambi yeye anasisitiza Diamond awape mimba haraka huko nchi ambazo Bado Kisha aoe.
Dini imevamiwa
Kuna video imesambaa mtandaoni ikimuonyesha Masanja Mkandamizaji na vijana wengine nadhani ni wafuasi wake katika kanisa lake lile liko pale Leaders club. Clip inaonyesha wako ktk shule fulani nmeshindwa kujua ni shule gani exactly lakini kwa mazingira inaweza kuwa Arusha, anaonekana Masanja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.