masanja mkandamizaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kutana na πŒπ“π€π‹πˆπˆ 𝐖𝐀 ππƒπ€ππˆ Bw. Masanja Mkandamizaji akizunguka nchi nzima kukuonesha namna ambavyo π“πšπ§π³πšπ§π’πš yetu inapendeza.

    Kutana na πŒπ“π€π‹πˆπˆ 𝐖𝐀 ππƒπ€ππˆ Bw. Masanja Mkandamizaji akizunguka nchi nzima kukuonesha namna ambavyo π“πšπ§π³πšπ§π’πš yetu inapendeza. Masanja anakuonesha miundombinu ya barabara, madaraja, vituo vikubwa vya mabasi na daladala, masoko nk. Vijana sasa wameendelea kuziona fursa, neno moja lao kwa mama Rais...
  2. Masanja Mkandamizaji aililia Benz iliyochomwa moto na Goodluck Gozbert

    Bishop Masanja Mkandamizaji amefunguka kwa uchungu..... "Nimeona story ya Kuchomoa gari!! ninachojua Nabii @geordavietv amewapa Magari watu Kadhaa!" Ameendelea kusema.... "Ombi langu kwa yeyote aliyepewa gari na Nabii, kama anataka na yeye kuchoma naliomba mimi na ninalifata mwenyewe...
  3. Pre GE2025 Samia atangaza kuchangia Milioni 20 ujenzi wa kanisa la Masanja Mkandamizaji la "Feel Free Church"

    Wakuu, Rais Samia ametangaza kuchangia Milioni 20 Ujenzi wa kanisani la Feel Free Church la Mchekeshaji Masanja Mkandamizaji. Soma pia: Rais Samia Achangia Milioni 100 katika Ujenzi wa Kanisa la AICT Samia ametangaza mchango wake huo kupitia akaunti yake ya X
  4. Masanja Mkandamizaji aonesha mjengo wa Kanisa lake la Feel Free Church kwa mara ya kwanza

    Msanii, mtangazaji, na mtumishi wa Mungu, Emmanuel "Masanja Mkandamizaji" Mgaya, leo Disemba 25, ameonesha kwa mara ya kwanza maendeleo ya ujenzi wa kanisa lake jipya, Feel Free Church. Kanisa la Feel Free Church linajengwa maeneo ya Uwanja wa Barafu, Mburahati, jijini Dar es Salaam...
  5. Masanja Mkandamizaji ashangazwa na Serikali kupunguza faini EFD, adai ni kuruhusu wafanyabiashara kufanya makosa

    Pastor Masanja akiwa kwenye kipindi kwenye redio ya EFM ameipongeza TRA kuongeza makusanyo kwa 14.5% kufikia trilioni 27.64 kwa mwaka wa fedha 2023/24 lakini amesikitishwa na uamuzi wa Serikali kupunguza faini ya kutotoa risiti ya EFD kwa wafanyabiashara kutoka milioni 15 mpaka milioni 4...
  6. Masanja Mkandamizaji Relax. Acha kupanic

    Tunajua bado mgeni kwenye kazi hivyo unatafuta kwa nguvu nyingi kuonekana umeziba pengo la waliokimbia EFM. Nakushauri relax usitumie nguvu nyingi maana umekuwa kama unafanya vurugu. Swaga zako za mwanawane sijui kukandamiza simeshakifu watu ulishindwa kuzirejesha na ze comedy yenu haitakuwa...
  7. Masanja Mkandamizaji, Mrithi wa Kitenge na Hando EFM

    Masanja mmoja ni sawa na Kitenge, Hando na Zembwela. Masanja kaziba pengo mpaka mwanya na kashawafunika, ze comedy show yote kahamishia pale unacheka mwanzo mwisho. Big up Majizo kwa kuwa mvumbuzi wa vipaji acha kuwang'ang'ania hao wazee hawana jipya tena.
  8. Maoni kwa Masanja Mkandamizaji

    Kuna siku baada ya ibada nilikushauri ubadili jina la kanisa maana jina lasasa lina shida na nikakwambia maneno yanaumba ila ukaniambia jina liko sawasawa na huna mpango wa kubadili. Tangu sikuile sikuja wala hatujaonana. Iko hivi, wewe mwenyewe umewaambia waumini wako (pamoja na katibu) kuwa...
  9. Hivi hakuna tena wanaume?

    Ni aibu kubwa mno kuona jinsi gani mijitu na ndevu zao yanavyoanzisha mada kuonyesha kufurahishwa na tukio la zinaa la mke wa Masanja Mkandamizaji. Nasema tukio la zinaa kwa sababu hakuna mwanamume yeyote anayetazama upande wa pili wa marehemu mzinzi isipokuwa GENTAMYCIME pekee, bali wengine...
  10. Masanja Mkandamizaji: Msinifananishe na Mchungaji wenu

    Masanja Mkandamizaji ameulizwa anahisi kwa nini watu wengi hawamuelewi kwa namna yake ya mahubiri amesema kuwa sababu kubwa ni kuwa kuna watu wengi wanatamani awe kama Mtumishi wao yaani afanane nao mpaka mavazi. Amesema β€œMsinifananishe na mtumishi wenu bali mwambieni mtumishi wenu afanane na...
  11. Video: Masanja Mkandamizaji afunguka, masaa machache kabla ya uzinduzi wa The Royal Tour

  12. J

    Masanja amshukia mchungaji Msigwa wa CHADEMA kama tai, asema hata Cedrick aliwahi kujoke vita ya Iraq mbele ya Rais Bush

    Ngoma inogile kwa wachungaji wawili maarufu wa kanisa la Pentecoste. Mchungaji Msigwa ndio ameanza uchokozi kwa kumwambia mchungaji mwenzake yaani Masanja kwamba jana alitia aibu kwa aliyoyafanya mbele ya marais watano. Mchungaji Masanja naye akamjibu Msigwa huko huko twittani kwamba hata...
  13. K

    Masanja Mkandamizaji: Watu ooh! Mama anasafiri sana. Ulitaka asafiri babaako?

    Kauli hii ya kifedhuli ameitoa Masanja Mkandamizaji alipopewa nafasi ya kuburudisha leo hii mbele ya mamilioni ya Watanzania na wana-Afirika Mashariki kwa ujumla, waliokuwa wanafuatilia sherehe za Uhuru wa Tanganyika kupitia runinga. Kauli hii inawabeza Watanzania wenye moyo wa kuipenda nchi...
  14. Naona MC Pilipili amekuwa mchungaji

    Wakuu naona Siku Hizi MC Pilipili naye Amekuwa Mchungaji Kama Alivyo Masanja Mkandamizaji, Ministry Yake Inaitwa Wonders Sunday Service, lipo Mbezi Beach Africana [emoji3][emoji3][emoji3]
  15. Baada ya Masanja Mkandamizaji sasa MC Pilipili naye awa mchungaji.

  16. Wachungaji wanaohamasisha uzinzi sio Nabii Tito peke yake, na Masanja Mkandamizaji yumo

    Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Masanja Mkandamizaji anamsisitiza Diamond awape mimba wanawake kutoka nchi zote Africa Mashariki. Huyu mchungaji chenga sana, anaacha kuhubiri toba na kuacha dhambi yeye anasisitiza Diamond awape mimba haraka huko nchi ambazo Bado Kisha aoe. Dini imevamiwa
  17. Hiki anachofanya Masanja Mkandamizaji sio sahihi kabisa

    Kuna video imesambaa mtandaoni ikimuonyesha Masanja Mkandamizaji na vijana wengine nadhani ni wafuasi wake katika kanisa lake lile liko pale Leaders club. Clip inaonyesha wako ktk shule fulani nmeshindwa kujua ni shule gani exactly lakini kwa mazingira inaweza kuwa Arusha, anaonekana Masanja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…