Wakuu nisaidieni kujua kuhusu hili.
Ila pia kama ni kweli nisaidie kujua, masega hayo unayapikia pamoja na nyama ya umbwa au baada ya kuandaa chakula ndio unaweka masega hayo.
Karibuni.
'Unga' wa Exhaust za magari unatokana na madini ya palladium. Kwa jina Masega
Palladium ni chuma adimu chenye thamani kubwa kwa sababu ya matumizi yake muhimu katika sekta mbalimbali, hususan kwenye magari na teknolojia nyingine.
Thamani yake inatokana na katika utengenezaji wa vifaa vya...
Jambo la kuepuka ni kuweka masega ya kuchomelea iwapo engine ya gari yako itakuwa na EGR.
EGR huwa inarudisha kiasi fulani cha moshi kwenda mahali ambako mafuta yanaungua(combustion chamber), kwa ajili ya kupunguza joto(combustion temperature) hivyo kupunguza pia kutengenezwa kwa Nitrogen Oxide...
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani Jijini Arusha leo June 25,2023 ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake ni kwamba siku hizi kuna mtindo mpya wa Watu kupasua bomba linalotoa moshi wenye sumu...
Wakuu, leo asubuhi nimechukua gari yangu niliyokuwa nimeilaza kwenye parking moja ya kulipia. Cha kushangaza nimetembea njia nzima gari ina muungurumo mbaya na haina nguvu kama nilivyoizoea.
Kuna nyuzi zilishaletwa humu kuhusu gari kuibiwa masega na muungurumo kubadilika.
Je, kuna namna...
Mara nyingi gari ikiibiwa masega,
1. Itawasha check engine
2. Inaweza kukosa nguvu.
3. Inaweza kumisfire(misi).
4. Itatumia mafuta vibaya sana.
Hizo ni baadhi tu ya dalili ambazo unaweza kukutana nazo iwapo gari itaibiwa masega. Au masega ya gari yako yatakuwa yamechoka.
Shida kubwa hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.