Wakuu, leo asubuhi nimechukua gari yangu niliyokuwa nimeilaza kwenye parking moja ya kulipia. Cha kushangaza nimetembea njia nzima gari ina muungurumo mbaya na haina nguvu kama nilivyoizoea.
Kuna nyuzi zilishaletwa humu kuhusu gari kuibiwa masega na muungurumo kubadilika.
Je, kuna namna...