Singida ni kama Simba tu kwetu. Huu ni mti wa mwembe wa uani. Unajichumia tu maembe.
Singida toka ianzishwe sikumbuki kama imewahi toa hata draw na Sisi Wamba. Never. And never. It will never happen.
Nasema hivi. Leo hata wakitoa draw.nina demu humu ni Mkia Sports Club. Ni nipigwe ban week...
Mashabiki wa wenzangu wa Simba acheni Mihemko na lawama kwa viongozi zisizo na msingi kwa kuongozwa na mihemko na maneno ya mashabiki wa utopolo.
Kocha Fadlu Davis tokayupo Pre Season kule Misri baada ya game mbili za kirafiki alisema kuna tatizo kwenye safu ya Ushambuliaji na mchezaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.