mashabiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Torra Siabba

    Sakata la Kuahirishwa Yanga vs Simba,Mbona waandishi mashabiki wa Yanga wanaukosea Mpira?

    Baada ya Bodi ya Ligi kuu Tanzania TPLB Kutangaza kuahirishwa kwa mechi ya watani wa Jadi Yanga vs Simba waandishi wa habari na wachambuzi wa maswala ya Kabumbu wameendelea kuukosea adabu mpira wa nchi hii kwa kuchambua kwa kutumia hisia zitokanazo na mapenzi yao juu ya Yanga badala ya kuwa...
  2. CAPO DELGADO

    Huu ni zaidi ya wizi mashabiki wa simba na Yanga Amkeni kwenye huo usingizi mzito.

    Serikali kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ili saini mkataba wa makubaliano ya ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa na Kampuni ya Beijing Construction Engineering Group (BCEG) ya China ambao uligharimu zaidi ya Sh. bilioni 31 na ulipaswa kukamilika Julai 2024. Hayo yalisemwa Dar es...
  3. GENTAMYCINE

    Tunaacha kuwaambia ukweli Mashabiki wetu Yanga SC kwanini tumefukuzwa Avic Town tunahangaika kwa Kuwazuga na Sakata la Derby kutokuchezwa

    GENTAMYCINE narudia tena kusema kwa kujiamini kabisa kuwa TUMEFUKUZWA AVIC TOWN kutokana na Madeni kuzidi Ok?
  4. ngara23

    TFF, Bodi ya ligi, Simba na Yanga mna agenda Moja, mnatuona mashabiki malofa

    Hawa watu wametengeneza mgogoro na wanajua njia ya kuhusuluhisha maofsini. Nimeamini Simba na Yanga zinatumika kisiasa, na Toka Leo sitajisumbua na hizi timu Wakiona derby isiharibu shughuli ya wanawake duniani, macho na masikio yawe Arusha badala ya Chang'ombe uwanja wa Taifa, maana...
  5. Waufukweni

    Ahmed Ally awaomba radhi mashabiki wa Simba, awasihi kurejea nyumbani kwa utulivu baada ya mechi kuahirishwa

    Meneja wa Habari wa Simba SC, Ahmed Ally, amewasilisha ujumbe wa pole kwa mashabiki wa klabu hiyo kufuatia kuahirishwa kwa mechi yao leo. Kupitia taarifa yake, Ahmed Ally ameomba radhi kwa mashabiki wote wa Simba, hususan wale waliotoka mikoa mbalimbali kwa ajili ya kushuhudia mchezo huo...
  6. Waufukweni

    Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi

    Wakuu Ubaya Ubwela umewageukia! Kwa mjibu wa Watangazaji wa EFm Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi Tazama video hii ya tukio husika Mwendelezo: Kikosi cha Simba, kimeondoka katika uwanja wa Benjamin Mkapa na kurejea kambini baada ya...
  7. The Watchman

    Video: Hali ilivyo uwanja wa Mkapa kuelekea mechi ya Yanga na Simba, mashabiki wanasuasua kuingia uwanjani

    Hali ilivyo nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kabla ya mchezo wa Yanga na Simba ni tofauti na matarajio ama ilivyo zoeleka. Pia soma: Breaking News: Bodi ya Ligi yahairisha Mechi ya Derby
  8. Christopher Wallace

    Kariakoo derby kupigwa Saa 1:15 usiku jumamosi, TFF wamezingatia kweli Usalama wa mashabiki?

    Mechi ya watani Simba Vs Yanga itapigwa saa 1:15 usiku kutokana na sababu za mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan. Mechi ikianza Saa 1:15 maana yake itaisha saa 3:00 usiku Vipi usalama kwa mashabiki watakaojitokeza na ambao wengine huambatana na familia zao, TFF wamezingatia kweli suala la usalama?
  9. ngara23

    Mchawi wa Simba ni Mashabiki na Wachambuzi uchwara

    Msimu uliopita mashabiki wa Simba walikuwa smart, waligundua tatizo la timu Yao kuwa ni viongozi Kwa kusajili magalasa akina Jobe, Onana, Saido, Sarr na Magalasa mengine Walishinikiza uongozi kuingia sokoni na kumshawishi arudi na kuwekeza Cha kushangaza viongozi Matapeli waliendelea...
  10. Rorscharch

    Mashabiki wa Simba na Yanga Wangekuwa Wanaijenga Nchi, Tanzania Ingekuwa Singapore: Taifa la Wapumbavu wasioelewa dhana ya Vipaumbele

    Kila mwaka, kila msimu, kila mechi – Simba na Yanga. Mashabiki wanapiga kelele, wanavunja viti, wanalia, na wengine wanashindwa hata kulipa kodi za nyumba kwa sababu ya klabu wanazoabudu kama mungu wa mitala. Soka? Hapana, huu ni upumbavu wa kiwango cha kimataifa. Wanavalia jezi, wanajichora...
  11. M

    Mashabiki wa Simba sc: "Ladack chasambi hatukudai na tumekusamehe"

    Nguvu moja Mara baada ya wanajeshi kuwatoa jasho vyura. Mwalimu Fadlu muanzishe last born wetu hapo kesho dhidi ya walinzi wa jela
  12. ngara23

    Mashabiki wa Simba wahoji kuhusu michango ya faini ya CAF kama ililipwa kweli

    Mashabiki wa Simba wamepaza Sauti na kuhoji kama michango iliyoitishwa na Meneja Habari wa klabu hiyo kama ililipwa kama lilivyokuwa kusudio Kimsingi kama timu inashiriki mashindano ya CAF, timu hiyo ikitozea faini pesa hiyo Huwa inakatwa kwenye pesa ambayo wangelipwa, wala haina haja ya timu...
  13. THE FIRST BORN

    We shabiki wa Simba unaemtukana Chasambi unakumbuka issue ya Gerrad 2014?

    Wanajukwaa la Sport habar, Nimewaza tu hivi Mashabiki wa Simba haya Matatizo ni Kwa sababu ya Umaskin au Ujinga tuliona nao wa kukosa Elimu na kukosa kustaarabika? Hivi Mchezaji anafanya kosa bado Match 10+ mnaenda kumshambulia Kiasi Kile serious? Nani analikumbuka Kosa la Gerrad 2014 Tena...
  14. THE FIRST BORN

    We shabiki wa Simba unaemtukana Chasambi unakumbuka issue ya Gerrad 2014?

    Wanajukwaa la Sport habar, Nimewaza tu hivi Mashabiki wa Simba haya Matatizo ni Kwa sababu ya Umaskin au Ujinga tuliona nao wa kukosa Elimu na kukosa kustaarabika? Hivi Mchezaji anafanya kosa bado Match 10+ mnaenda kumshambulia Kiasi Kile serious? Nani analikumbuka Kosa la Gerrad 2014 Tena...
  15. M

    Mwambieni kocha Fadlu mashabiki wa Simba tumechoka na ufundishaji wake wa 'Back Pass'

    Hakuna kitu kinachotukera ndani ya Simba kama Back Pass, mpira akishika Razak Hamza anarudisha kwa Camara, Che Malone akianzishiwa mpira anasogea nao halafu anamrudishia tena Camara, Kagoma naye hivyo hivyo, Ngoma naye hivyo hivyo, yaani kurudisha nyuma kwa kipa Camara yaan Back Pass hata kama...
  16. ngara23

    Niwatie moyo mashabiki wa Simba

    Simba sio timu mbaya, ni timu nzuri mno Lakini laZima tubaki kwenye lengo mama kuwa tunatengeneza timu. Timu yetu Bado changa kushindana Kwa ajili ya ubingwa, tusiwape wachezaji wetu pressure Kuna mashabiki walijidanganya ati wanachukua ubingwa msimu huu Utachukuaje ubingwa mbele ya Yanga...
  17. Waufukweni

    Vibe la Wabunge mashabiki wa Simba, walivyotambulishwa wachezaji wa Simba ndani ya Bunge

    Uongozi wa Klabu ya Simba Pamoja na wachezaji wamehudhuria Mkutano wa 18 wa Bunge leo tarehe 4 Februari, 2025, jijini Dodoma ambapo wapo jijini humo wakiwa wameweka kambi ili kuikabili Fountain Gate tarehe 6 Februari, 2025, shangwe nyingi zimesikika bungeni wakati wekundu hao wakitambulishwa na...
  18. Lupweko

    Mashabiki wa Yanga msivuke mipaka mnapotoa ahadi kuhusu mechi za Simba

    Komeo Lachuma, Minjingu Jingu, Labani og, Medecin
  19. OKW BOBAN SUNZU

    Simba yatangaza tenda ya jezi, mashabiki wazitamani Adidas, Puma na Nike

    Hii ni kufuatia mkataba wa bilioni 2 kwa miaka miwili kati ya Simba na Sandaland kuelekea ukingoni
  20. sergio 5

    Leo nimegundua asilimia kubwa ya mashabiki wa Man United wanashida sana

    Mfano tu mtu anasema babu Ferguson aliyekaa man united miaka 25 na epl 13 ni Bora kuliko pep aliyekaa miaka 7 na epl 5 Pep uyu uyu kamfunga babu mechi mbili za UCL 2009, to 2011 Nb:sijajumlisha makombe ya ligi ya Spain akiwa na Barca pep na makombe ya ligi akiwa na Bayern ujeremani
Back
Top Bottom