mashabiki wa soka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MwananchiOG

    Benjamin Mkapa stadium kuwa Olympic Stadium badala ya Football stadium ni kuwadhulumu mashabiki wa soka Tanzania

    Sikumbuki mara ya mwisho kuona mashindano yoyote makubwa ya riadha au matumizi yoyote ya zile running tracks zilizopo katika dimba la Mkapa. Sanasana imekuwa sehemu ya viongozi kuzunguka kupungia mkono wananchi pindi wanapoapishwa. Ukiingia uwanja wa Mkapa kutazama mechi kama haukai walau...
  2. Waufukweni

    LGE2024 Mwananyanzala awahamasisha mashabiki wa Soka nchini kupiga Kura uchaguzi Serikali za Mitaa

    Mwanachama maarufu wa klabu ya Wananchi, Yanga na shabiki wa soka, Hussein Makubi Mwananyanzala, amewataka wapenzi wa soka nchini kujitokeza kwa wingi kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji, na vitongoji.
  3. comte

    Dodoma: Mashabiki wa Simba na Yanga, wakausanya fedha kwa ajili ya kumzawadia kiwanja daktari anayewahudumia

    Si kila utani unasababisha ugomvi bali utani mwingine una manufaa katika jamii katika kuimarisha udugu, ushirikiano na umoja. Hali hii imejithiirisha katika kijiji cha Ngomai, kata ya Ngomai wilayani Kongwa, ambapo mashabiki wa Simba na Yanga, wameamua kutumia utani kukusanya fedha kwa ajili ya...
  4. L

    Viongozi wa Azam sikilizeni ushauri wangu kama mnataka kweli kuiletea heshima nchi na Bakhresa mwenyewe

    Mna timu nzuri kuliko timu yoyote hapa Afrika, mna kocha mzuri na mwenye sifa, mna management nzuri, mna utajiri wa kutosha, mna uwanja mzuri, kusema kweli mna kila mtu. Mnaweza kufukuza kocha mkiondolewa na APR, mnaweza kufukuzana kimya kimya kama mlivyofanya enzi zile kwa kitasa Idd Nassoro...
  5. M

    Young African imekuwa tishio kutokana na uongozi imara. Simba jifunzeni kwao

    Hongera sana Young African kwa kiwango bora na chakushangaza. Hakika hakuna timu ya kuifunga Yanga hapa Tanzania. Hatua hii ni kutokana na uongozi imara usio na tamaa. Simba S.C sio kwa ubaya ila yafaa mjiulize na kujifunza kwao kwani kujiuliza kwa aliyefanikiwa sio vibaya. NB: Young African...
  6. Medecin

    Simba wakishinda naomba moderator mnipige ban week nzima

    Japo Mimi ni mchambuzi tu na sina timu ila naomba kuungana na mchambuzi mwenzangu nguli mtaalam wa soka ndugu Labani og kuwa leo Yanga atashinda kirahisi mbele ya kikosi dhaifu cha makolo. Yanga kifupi inapangika tu kuanzia golini hadi Namba 7 lakini kuanzia Namba 8 had 11 haipangiki hujui...
  7. Labani og

    Yanga akifungwa na Simba nipigwe ban ya wiki

    Japo Mimi ni mchambuzi na sina timu kama kawaida yetu ila leo naomba ku-declare my interest kwa kuipa ushindi Yanga Kwa kosi zito walilonalo wananchi. Ni zito kucheza na Simba, naona Simba wataelemewa from the beginning hivyo kupigwa mvua ya goli. [emoji23][emoji23]Yanga kifupi inapangika tu...
  8. THE FIRST BORN

    Yanga hata kama wakifungwa tarehe 8 always viongozi na mashabiki watakua positive ila tatizo ni upande wa Simba

    Habari! Ukweli mwingine ni huu apa ikitokea Yanga akapoteza game ya tarehe 8 usi expect mashabiki wala vipngozi wao kutoleana maneno na kusontana huku mashabiki wakianza kuisema team vibaya. Ila Simba wakifungwa tu nakwambia utasikia mashabiki wanasema yule mchezaji flan hakuna mchezaji mle...
Back
Top Bottom