Simba wanapaswa kukubali kuwa wao ni timu ya pili baada ya yanga na kwa jinsi tunavyoenda huenda ikawa ya tatu.
Naona yanga wana mikakati mikali kama shetani.
Shetani anaweka makasisi,mitume,manabii na wachungaji feki wengi sana.Mnaweza kudhani mpo safari moja mkimwabudu Mungu ila siku ya...
Baada ya Bodi ya Ligi kuu Tanzania TPLB Kutangaza kuahirishwa kwa mechi ya watani wa Jadi Yanga vs Simba waandishi wa habari na wachambuzi wa maswala ya Kabumbu wameendelea kuukosea adabu mpira wa nchi hii kwa kuchambua kwa kutumia hisia zitokanazo na mapenzi yao juu ya Yanga badala ya kuwa...
Hili ni onyo dhidi ya TFF na bodi ya League.
Tunajua mnambembeleza Eng. Hersi akubali mechi nyingine ambayo hadi sasa mmeshindwa kutoa kauli tokana na tempo ya watu kuwa juu Kwa uhuni mliofanya.
Usiku huu viongozi wetu wametoa msimamo na ni kweli hakuna Derby ya ligi kuu tena kwa msimu huu...
Mashabiki wa hizi timu 2 kwa madhila na dharau walizofanyiwa km wana akili kweli basi waache kuzishabikia kuna timu nyingi ligi kuu tuanzie na zile zilizo kwenye mikoa yetu wakipigwa na njaa watashika adabu.
Ukishaona timu wanaCCM wamo humo kuanzia mwenyekiti wao hapo hakuna raha ni kutumiwa km...
Wakuu
Ubaya Ubwela umewageukia!
Kwa mjibu wa Watangazaji wa EFm Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi
Tazama video hii ya tukio husika
Mwendelezo:
Kikosi cha Simba, kimeondoka katika uwanja wa Benjamin Mkapa na kurejea kambini baada ya...
acheni
dabi ya kariakoo
hongera
jana
janja janja
kesho
klabu ya simba
kufanya
kufanya mazoezi
mashabikimashabikiwayanga
mazoezi
simba
timu
yangayanga na simba
zake
Kuna Mtu nimemtuma kuja Dar es Salaam kunifungia Mzigo wa Calculators ili nizilete hapa Kampala Uganda niziuze kwani zina Soko naambiwa kwa Wiki hii nzima hazipatikani Madukani kote kwa Kununuliwa kwa Fujo (kwa Wingi) na Mashabiki wa Yanga FC.
Kwani kuna nini Kinaendelea huko Bongo?
Inafikirisha sana, dunia nzima ipo katika shamrashamra za birthday ya Yesu Kristo, hawa ndugu zetu vyura wanaharibu mood yetu kwa kujaa malalamiko yasiyo na kichwa wala mguu.
Ukiwauliza wanalalamika nini hawana jibu la kueleweka. Mara refa, mara analalamikiwa mchezaji wa JKT, wanamlaumu hadi...
Habari wakuu wana Jamii Forums.
Nimelazimika kuingilia kati kidogo minadala inayoendelea Tangu jana Usiku Baada ya yanga Kupoteza Mchezo 2-0 Dhidi ya MC Alger ya Algeria
Nimekuwa nikifuatilia maoni sehemu mbali mbali hususa ni Kwenye mitandao ya kijamii kama Jf na instagram.
MAONI...
Kumekucha Jangwani, wenyewe wahaha baada ya kipigo cha mbwa koko cha bao 2 kwa nunge dhidi ya Al Hilal ya Sudan.
Soma Pia: FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |
Kijana kazi imemshinda, nimeona mashabiki wa Yanga wanalaumiana kwenye mitandao kuwa hawaendi uwanjani, wanashindwa na ma Shabiki wa Simba, mmoja wa mashabiki hao anaitwa God Yanga, amelalamika sana kuwa licha ya timu yao kuwa nzuri lakini mashabiki wake wengi hawaendi uwanjani au wanasubiri...
Katika mechi ya jana ya Yanga vs Tabora utd kuna shabiki alimrushia refa msaidizi (kibendera) chupa ya maji na kumfikia mgongoni, hii ilitokea baada ya refa huyo kunyoosha bendera kuashiria kuwa goli la Dube ni offside, na camera zilionyesha wazi ni wapi chupa imetoka hivo wanaweza kuifatilia...
Wakuu huko mtandaoni nimekutana na hii video imenipa utata, je ni kweli hawa wazungu walikuwa wanashangilia goli la yanga dhidi ya simba? Msaada tafadhali katika kupata uhalisia wa video hii wakuu
Si kila utani unasababisha ugomvi bali utani mwingine una manufaa katika jamii katika kuimarisha udugu, ushirikiano na umoja.
Hali hii imejithiirisha katika kijiji cha Ngomai, kata ya Ngomai wilayani Kongwa, ambapo mashabiki wa Simba na Yanga, wameamua kutumia utani kukusanya fedha kwa ajili ya...
Habari wadau.
Nimekuwa nikifuatilia mada za Wanayanga tangu game ya simba huko Libya. Wamekuwa wakija na hoja vunjifu hoja katishi mmoja kasema kuhusu simba hajapiga shuti la kulenga goli mara mwingine kaja na hoja za kuja kufungwa huku Dar.
Hapo awali stori ilikuwa ni Mabululu na habari za...
Mashabiki wa Yanga SC mkoa wa Kagera leo wamejumuika na kupata supu kama utamaduni wao wakifurahia na kusherekea ubingwa wa Ngao ya Jamii na kusubiri kuanza kucheza michezo ya ligi kuu ya NBC hapo kesho.
Yanga kesho watakuwa katika dimba la Kaitaba kucheza mchezo wao wa kwanza wa ligi msimu...
Yanga wapo kwenye kiwango bora cha maisha yao. Kweli itatuweka huru. Japo ni kweli iliyobeba gharama zenye hisia ya maumivu kwa mashabiki wa Simba.
Yanga wanacheza kitimu katika muunganiko uliotukuka. Wame copy na ku paste maisha ya 'siafu.' Hakuna kutegeana, timu ina morali kama haijawahi...
Kusema ukweli nimevumilia miaka hii mitatu kuona kama hili litimu litabadilika nimegundua Simba SCni ya mambumbumbu fc haitobadilika miaka 10 mbele aisee nimeona Bora niamie Young Africans pira Gamondi.
kilichonifanya nihamie ni Jana baada ya kuiadhibu tawi la Simba Kwa mpira safi jamani...