mashada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dalton elijah

    Kuiba Misalaba, Mashada ya Maua Makaburini ni Laana

    KWA miaka ya hivi karibuni kuna kukithiri kwa wizi wa mashada ya maua makaburini, na ung'oaji wa misalaba unaofanywa na baadhi ya wananchi kwa Malengo tofauti tofauti. Katika baadhi ya makaburi ambayo hayalindwi, kumekuwa na aina hiyo ya wizi hasa katika miji mikubwa kama Dar es Salaam, Arusha...
  2. C

    Huu utamaduni wa kuweka mashada ya maua makaburini umetokea wapi?

    Tumetoka kumsindikiza jamaa wetu kafiwa na mama ake mzazi huko mkoani lakini mpaka mvua imetukuta uko porini wanasoma orodha ndefu ya watu watakao weka maua kwenye kaburi ya marehemu, tumetoka usiku na njia mbovu. Hivi huo utamadini wa kuweka mashada kwenye undongo wa kaburi ulitoka wapi...
Back
Top Bottom