Wadau hamjamboni nyote?
Wanajeshi kadhaa wa Syria walijeruhiwa kutokana na "shambulio" la anga la Israeli karibu na mji wa Al-Safira, nje ya Aleppo na Idlib, vyombo vya habari vya serikali viliripoti mapema Jumamosi.
Shambulio hilo lililenga maeneo kadhaa vijijini nje ya Aleppo na Idlib...
Sulbakheri Tehrani...Shkamooni Dar es salaam......Asalam aleykum Tehran, Baghdad na Syria...
Mpaka jioni hii Kwa majira ya Africa Mashariki hakuna tunachoweza kuficha kuhusu athari zilizojitokeza kuhusiana na makombora yaliyofurushwa na iran.
Iran ilirusha takribani makombora 180 kuelekea...
Ya muhimu....
1. Israel lina Wanajeshi wenye Uzalendo usio wa mashaka na Taifa lao
2. Israel lina Jeshi lenye si tu bora Wanajeshi bali Wanajeshi waliosoma vyema na wana Akili sana Kichwani
3. Israel lina Jeshi ambalo Askari wake hawatiliwi Mashaka kama hawana Uraia kamili wa Israel
4. Israel...
Breaking: Majenerali wakuu wa Jeshi la Israel wameidhinisha mpango ya vita vya kuishambulia vya Lebanon
Wadau hamjamboni nyote? Kumekucha huko middle east. Mayahudi wamechoka na uchokozi wa magaidi wa Hezbollah na dasa wameamua kujibu mapigo
Majenerali wa ngazi za juu kabisa wa Jeshi la Israel...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.