mashambulizi ya kimtandao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. VPN ndio njia salama zaidi ya kujilinda na Mashambulizi ya Kimtandao

    Kumekuwa na upotoshaji kuwa Matumizi ya Virtual Private Network (VPN) husaidia upatikanaji wa maudhui yasiyofaa pekee Mitandaoni, jambo ambalo halina ukweli kwasababu VPN ni nyenzo muhimu katika kuzuia mashambulio ya Mtandaoni pamoja na Kulinda Taarifa Binafsi za Watumiaji. Kwa mujibu wa...
  2. Ni muhimu kwa kila Mtanzania kuchukua jukumu la kujilinda dhidi ya Mashambulizi ya Kimtandao

    Mashambulizi ya kimtandao ni jambo la kawaida katika enzi hizi ambapo teknolojia ya habari na mawasiliano inakua kwa kasi. Maendeleo ya kiteknolojia yameleta faida kubwa katika maisha yetu, lakini pia yameleta changamoto na tishio la usalama wa kimtandao. Teknolojia inaendelea kuwa sehemu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…