mashariki

The Eastern Province (Swahili: Mashariki) of Kenya was one of 8 Provinces of Kenya. Its northern boundary ran along with that of Ethiopia; the North Eastern Province and Coast Province lay to the east and south; and the remainder of Kenya's provinces, including Central Province, ran along its western border. The provincial capital was Embu.

View More On Wikipedia.org
  1. Mauaji ya ajabu ajabu Afrika Mashariki ni kiashiria cha kuingia ugonjwa wa "serial killer"?

    Serial killers ni watu wanaofanya mauaji ya zaidi ya mtu mmoja kwa minajili ya kujipatia furaha tu, mauaji yao mara nyingi huwa yanalenga kundi fulani la watu mfano wanawake, watoto, watu wa rangi fulani n.k Aina hii ya mauaji imekuwa maarufu zaidi katika nchi za magharibi ikihusishwa zaidi na...
  2. Hakuna na hakutatokea ngoma Kali ya Hip Hop ya kushirikiana hapa Tanzania na Afrika Mashariki kuizidi MTAZAMO

    Hii ngoma iliyokutanisha manguli wa muziki wa Rap hapa Tanzania Kwa miaka hiyo kiukweli ilipikwa,ikasukwa na ikasukika ki kwelikweli! Kiukweli ninayo Jeuri kusema ya kwamba "Kama Kuna mtu anadhani Kuna ngoma Kali kuizidi hii naomba aiweke hapa na nitampatia Tsh 100,000/= Hii ngoma iliachiwa...
  3. A

    Wanajeshi 3000 hadi 4000 wa Rwanda wanashirikiana na waasi wa M23 katika mapigano mashariki mwa Kongo

    UN: Vikosi vya Rwanda vyasaidiana na M23 kupigana Kongo Ripoti moja ya wataalam wa Umoja wa Mataifa iliyoonekana na shirika la habari la Ufaransa AFP inasema, kati ya wanajeshi 3000 hadi 4000 wa Rwanda wanashirikiana na waasi wa M23 katika mapigano mashariki mwa Kongo. Ripoti hiyo inasema...
  4. B

    Nippon Paint Yazindua Kampuni Tanzu Afrika Mashariki, Ikilenga Kutoa Bidhaa na Huduma Zenye Ushindani Katika Soko Hili Linalokua

    (Kushoto Kwenda Kulia) Mheshimiwa Bw. Rohit Vadhwana, Kaimu Kamishina Mkuu wa India, Sharad Malhotra - Makamu wa Rais Mkuu, Nipsea Group, Hardev Singh- Rais na Mkurugenzi (Idara ya Kiwanda), Nippon Paint India, Arun Mishra - Meneja Biashara, Nipsea Paint Kenya, Jamil Virjee, Mkurugenzi Mtendaji...
  5. Iran wamewaambia UN iwapo Israel itaivamia Lebanon, mashirika yote ya Kiislamu ya Mashariki ya Kati yatakwenda Lebanon na kujiunga na Hezbollah"

    Wanakumbi. MPYA: 🇮🇷🇮🇱 Iran katika Umoja wa Mataifa: "Iwapo Israel itaivamia Lebanon, mashirika yote ya Kiislamu ya Mashariki ya Kati yatakwenda Lebanon na kujiunga na Hezbollah" Iran imesema katika Umoja wa Mataifa kwamba iwapo Israel itaanzisha vita vikali dhidi ya Hizbullah nchini Lebanon...
  6. Yaliyojiri Mashariki ya kati

    The Israeli occupation army is moving its troops to the Lebanese border ahead of an increasingly likely ground invasion of southern Lebanon.
  7. TANZIA Dkt. Shogo Mlozi, Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki afariki dunia

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ametangaza kifo cha Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dk Shogo Mlozi. Spika Tulia ametangaza kifo hicho leo Alhamisi June 13, 2024 kabla ya kuanza kwa kikao cha 46 cha mkutano wa 15 wa Bunge la 12 Bungeni Jijini Dodoma...
  8. P

    Hii hapa ni orodha ya wanasiasa ambao kwao nimejifunza mengi

    Binafsi nafuatilia sana siasi Kwani naelewa mustakabali wa maendeleo yetu kama binadamu unaletwa na siasa safi. Kwa upande wa Afrika Mashariki na kati na kwa kipindi hiki ambacho naelewa kinachoendelea duniani (2005 - 2024). Hii hapa ni list ya wanasiasa ambao kwao nimejifunza mengi. 1...
  9. Waziri Kijaji: Mahusiano ya kibiashara kati ya Tanzania na nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Mwaka 2023, thamani ya mauzo ya bidhaa kwenda katika Soko la Ulaya iliongezeka hadi kufikia shilingi trilioni 3.836 kutoka shilingi trilioni 2.446 mwaka 2022, sawa na ongezeko la asilimia 56.8. Ongezeko hilo limechangiwa na kuongezeka kwa mauzo ya bidhaa za kilimo na viwandani kwenda katika nchi...
  10. Dkt. Nchemba aongoza Baraza la Mawaziri wa Fedha na Uchumi Afrika Mashariki

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) ameongoza Mkutano wa 16 wa Baraza la Kisekta la Mawaziri wa Fedha na Uchumi (SCFEA) na mkutano wa Mashauriano ya Kibajeti wa Mawaziri wa Fedha na Uchumi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, kwa niaba ya Waziri wa Fedha na Mipango wa Sudani...
  11. Kenya inaongoza Afrika Mashariki kwa madeni makubwa katika taasisi za Mikopo duniani

    Kwa mujibu wa taarifa ya Madeni iliyopo katika tovuti ya Shirika la Fedha Duniani (IMF), imeonesha takriban nchi 47 kutoka Afrika zimeendelea kuwa na Madeni katika taasisi hiyo ya Fedha ambapo hadi hadi kufikia Mei 16, 2024 Nchi 10 zilikuwa na Deni la takriban Tsh. Trilioni 72.3. Aidha, Nchi...
  12. Dkt. Kida, Mkuu wa Idara ya Afrika Mashariki ya Uholanzi wakutana na kujadili shughuli za uboreshaji wa mazingira ya Uwekezaji na Biashara

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Dkt. Tausi Kida amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Idara ya Afrika Mashariki wa Uholanzi, Bi. Sanne Lowenhardt pamoja na Mshauri Maalum kuhusu Africa wa Wizara hiyo Bw. Melle Leenstra kuhusu uboreshaji wa Mazingira ya Uwekezaji na Biashara...
  13. Safaricom yaweka rekodi Africa Mashariki kufikisha mapato ya dollar billion 1 kwa mwaka

    Wiki hii kampuni ya simu ya Safaricom ya Kenya imefikisha mapato ya dollar bilioni 1.07 kwa mwaka na kuifanya kampuni ya kwanza katika ukanda wa Africa Mashariki kufikisha na kupita kiwango cha mapato ya dollar bilioni kwa mwaka.
  14. Watanzania tumeshindwa kuelewa kuwa sisi Afrika mashariki ndio wanatuona kama kioo cha jamii hususani Kenya

    Watanzania bado tujashtuka kuhusu ili li nchi letu kutokutambua kuwa sisi hapa afrika mashariki ndio role modo wa nchi zote afrika mashariki. Ukinagalia swala la sanaa kabisa unaona sanaa ya tz inapendwa niliona yule kicheche alivopokelewa congo au reyvan. Tuje kwenye maendeleo hapa tanzania...
  15. Pre GE2025 Tanzania yaongoza kwa Nchi zinazolinda Uhuru wa Vyombo vya habari kwa Afrika Mashariki

    Ripoti ya Utafiti iliyotolewa na Taasisi ya Reporters Without Borders (RSF) ya Mei 3, 2024 imeonesha kuwa Tanzania imeshika nafasi ya kwanza katika Nchi zinazolinda Uhuru wa Vyombo vya Habari kwa upande wa Afrika Mashariki. Tanzania imepanda kutoka nafasi ya 143 kwa Mwaka 2023 hadi 97, Kenya...
  16. Jose Chameleon: Msanii aliyeitikisa Afrika Mashariki

    Huyo mzungu ndiyo Dorotia mwenyewe, Kama uliwahi kusikia Ngoma ya Dorotia toka Kwa Jose Chameleon.Alikua Mpenzi wa Jose na walizaa mtoto mmoja aitwaye Ayla Mayanja Dr. Jose Chameleon aliivuruga East Africa na ngoma kali sana hit baada ya hit yani tunabandua Ugali tunabadika maharage yani...
  17. R

    Msaada: Anayejua zilipo ofisi za EWURA Kanda ya Mashariki (Dar es Salaam) anitajie zilipo

    Ndugu zangu naomba kujua zilipo ofisi za EWURA hapa Dar es Salaam. Nime-Google sehemu nyingine wanasema ziko Kijitonyama PSPF Tower, sehemu nyingine wanasema ziko Mawasiliano Tower, Sam Nujoma Road na simu zilizopo kwenye tovuti yao hazi patikani. Tafadhali kama unajua zilipo pamoja na namba...
  18. Jinsi Afrika Mashariki itakavojitenga na Afrika

    Historia ya mwanzo wa mabara katika dunia ni moja ya hadithi ndefu zaidi katika maendeleo ya wanadamu. Inahusisha mambo mengi kama vile mabadiliko ya tabia nchi, uhamiaji wa binadamu, na mageuzi ya kijiolojia. Katika jiolojia kinachojulikana hadi sasa kuhusu dunia kupitia. Pangaea ilikuwa jina...
  19. Israel wameshindwa na Iran, wameelekea Rafah.Wameharibu mazao mashariki ya eneo hilo

    Harakati za kijeshi za Israel eneo la Rafaha zimeongezeka sana katika siku mbili zilizopita. Hilo linatokea wakati dunia ilihofu sana kwamba angejibu kwa nguvu shambuio la Iran lililopiga kambi zake mbili kuu za kijeshi hapo Jumamosi iliyopita. Taarifa zinaonesha kuwa idadi ya vifo katika eneo...
  20. J

    Askari Polisi kutoka Ukanda wa Mashariki mwa Afrika wametakiwa kujiweka imara katika kukabiliana na uhalifu

    Askari Polisi kutoka Ukanda wa Mashariki Mwa Afrika wametakiwa kujiweka imara katika kukabiliana na uhalifu unaovuka mipaka, usafirishaji haramu wa binadamu pamoja na usafirishaji wa dawa za kulevya. Akizungumza Aprili 17, 2024 wakati akifunga rasmi zoezi la utayari FTX USALAMA PAMOJA2024...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…