masharti mepesi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naomba kuelekezwa kuhusu benki ya ABSA kutoa riba kila mwezi kutokana na salio lako na mikopo ya masharti mepesi

    Nimesikia kwa juu juu tu ukiwa na account katika benk ya ABSA unapata riba kila mwezi kutokana na salio lako lakini pia wanatoa mkopo low condition. Pia unapewa kadi papo kwa papo. Kwa yeyote mwenye uelewa na habari za Absa anisaidie, kesho nikafungue. Asanteni.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…