masharti ya mkopo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Benki kukataa kumpa mkopo mteja kwa sababu ndugu wa mteja anadaiwa na Benki hiyo ni sawa?

    Nikiwa kama mjasiriamali nimejikuta nipo kwe uhitaji wa mkopo kutoka Benki ambayo ninaitumia kwa ajili ya kufanya miamala yangu ya kibiashara na hata kuhifadhi fedha kwa muda mrefu. Isivyo bahati nimekataliwa kupewa mkopo kwa sabubu nina ndugu yangu anadaiwa na deni lake hajalipa kwa wakati...
  2. Suley2019

    VoA watolea ufafanuzi taarifa ya Masharti ya Mkopo wa Korea Kusini kwa Tanzania

    Siku moja baada ya kutoa taarifa inayoeleza masharti ya mkopo ambao Tanzania imeupokea kutoka Korea Kusini hivi karibuni (Soma hapa). Shiriki la Habari la Sauti ya Marekani (VoA) limeibuka na kutafuta ufafanuzi wa kina wa taarifa ya mkopo huo kutoka Serikalini. Habari hiyo inaeleza: Serikali...
Back
Top Bottom