masharti ya mkopo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Mshahara wangu Tsh. 600,000, nataka nikope milioni 15 nijenge na kuongeza mtaji wa biashara, naomba ushauri

    Shikamoni wakubwa zangu. Mimi ni mtumishi serikalini, mshahara 600K. Nataka nijilipue, nikope benki Tsh. Milioni 15. Zipi faida na hasara zake? Na vipi kuhusu makato yao? Nimepanga nichukue wa miaka 5. Karibuni.
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Benki kukataa kumpa mkopo mteja kwa sababu ndugu wa mteja anadaiwa na Benki hiyo ni sawa?

    Nikiwa kama mjasiriamali nimejikuta nipo kwe uhitaji wa mkopo kutoka Benki ambayo ninaitumia kwa ajili ya kufanya miamala yangu ya kibiashara na hata kuhifadhi fedha kwa muda mrefu. Isivyo bahati nimekataliwa kupewa mkopo kwa sabubu nina ndugu yangu anadaiwa na deni lake hajalipa kwa wakati...
  3. JamiiForums Tanzania VoA watolea ufafanuzi taarifa ya Masharti ya Mkopo wa Korea Kusini kwa Tanzania

    Siku moja baada ya kutoa taarifa inayoeleza masharti ya mkopo ambao Tanzania imeupokea kutoka Korea Kusini hivi karibuni (Soma hapa). Shiriki la Habari la Sauti ya Marekani (VoA) limeibuka na kutafuta ufafanuzi wa kina wa taarifa ya mkopo huo kutoka Serikalini. Habari hiyo inaeleza: Serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…