mashati

The Rombo language, or Kirombo, is a Bantu language of Tanzania spoken by the Chaga people, in the Chaga area of the Kilimanjaro region. Rombo forms a dialect continuum with other Chaga languages.
Rombo dialects are Useri (Kiseri), Mashati(Kimashati), Mkuu(Kimkuu), and Mengwe(Kimengwe).

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Wanawake mliofika 30+ acheni kutusumbua sisi washamba tunaovaa mashati ya vitenge na suruali za vitambaa

    Wakati mpo wabichi wa miaka 19 mpaka 24, Sisi mlituona washamba. Sisi mlituona hatuna swagger za watoto wa mjini. Sisi mlituona tupo kama wazee wa kale. Sisi mlituona tupo kama walimu wa vijijini. Sasa kwanini mnatusumbua jua likiwa tayari limezama?? Shida ni nini?? Kwani wale wajanja wavaa...
  2. A

    KERO Kampuni za Mawasiliano zimeshindwa kuhakikisha huduma bora ya Mtandao Tarafa ya Mashati, Rombo

    Makampuni ya Simu kwa kipindi kirefu sasa zaidi ya Miaka 10 tangu 2010 yameshindwa kuhakikisha Huduma Bora ya Internet katika tarafa ya Mashati, Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro. Si network ya kupiga simu au ya kutuma ujumbe mfupi (SMS) wala internet, zote ni mbovumbovu na karaha kwa watumiaji...
  3. Mtindo gani wa Mashati ya Kitenge unabamba sasa hivi hapa Mjini?

    Wakuu nimenunua Kitenge kikali sana, na target yangu kubwa ni kushona shati ya Kitenge kali sana, Hivyo nipeni mwongozo na uzoefu ni mtindo gani wa Mashati ya Kitenge unabamba kwa sasa hapa Mjini..?
  4. Natafuta soko la Mashati ya shule (Tomato)

    Wakuu natafuta soko la mashati meupe ya shule, ya mikono mirefu na mifupi. Nauza kwa bei ya kiwandani , kuanzia dozen 50. Nipo Dar. Kuna Size Small Medium Large, 38, 40,42 na 2, 3, 4 . Toa oda tufanye biashara
  5. Wana JF mashati haya naweza kupata duka lipi kwa Dar es Salaam?

    Bila shaka hamjambo wana Jf, nisiwachoshe nahitaji mashati kama haya niliyoambatanisha na hii thread kwa hapa Dar. Natanguliza shukurani zangu.
  6. Watakaogombea Ubunge 2025 waje na job opportunities kwaajili ya vijana wetu badala ya kofia na mashati

    Watakao gombea ubunge 2025 waje na job opportunities kwaajili ya vijana wetu badala ya kofia na mashati. Huko kwenye majimbo vijana wanahitaji ajira, kama mbunge hawezi kutengeneza ajira asichaguliwe ubunge. Maana huyo hana uwezo. Huyu mgombea ubunge alikua anapeleka mchele kwa wananchi ili...
  7. Wapi nitapata soko la mashati ya kike

    Wakuu poleni na majukumu. Mimi ni mjasiriamali mdogo niliyejikita katika mradi wa ushonaji. Kimsingi huwa nauza mashati ya shule, nashona kwa oda kwenye shule zinazohitaji na kipindi cha msimu huwa nawauzia mawakala wa Kariakoo. Kwa sasa nimeanza kushona mashati ya kike ya color combo...
  8. Natafuta mashati kama yale ya wafanyakazi wa DART

    ....
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…