Mahakama imesema haijashindwa kusikiliza mashauri ya watuhumiwa wa ugaidi kwa sababu ya kukosa bajeti ya kusafirisha mashahidi na kwamba gharama hizo ziko chini ya Ofisi ya Taifa ya Mwendasha Mashtaka (DPP).
Katika taarifa iliyotolewa na Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano, Mahakama...