"Uadui wa Uislamu na Chadema unatokea wapi? na watu bila kuangalia na kufikiria chochote wanaipokea propaganda hii. Chadema siyo chama cha kikristo wala kiislaamu, Chadema ni chama cha kisiasa." Shekh Ally Kadogoo
Masheikh wa uamsho waliofanya matendo yenye viashiria vyote vya ugaidi wanaachiwa huru lakini raia mwema ambaye kosa lake ni kutamka tamka “katiba Mpya” anakamatwa na kuuziwa kesi ya Masheikh wa Uamsho. Ugaidi wa Mbowe ni mkubwa kiasi gani ukilinganisha na Masheikh walioachiwa huru.
Mtu...
Sote tunakubali kwamba haikuwa vizuri nyie kukaa muda wote huo huku hamjui hatma ya kesi yenu.
Sote tunajua kwamba mliishi kwa shida huko jela kama ambavyo waliishi wengine wasiokuwa nyinyi(shida zinazidian)
Lakini naomba sana nyie mashekhe mshapata bahati mumetoka mnatakiwa mutulie kama...
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
*WARAKA WA KUTOLEWA UAMSHO
TAREHE 19 JUNI 2021*
UTANGULIZI:
Suala la kukamatwa Masheikh maarufu kwa jina la “Masheikh wa Uamsho” (2013), na kuachiwa kwao huru (2021), ni tukio kubwa Tanzania. Kwa sababu kadhaa zikiwemo za ubinadamu, haki na nafasi ya Masheikh katika...
Wazanzibari hawakutaka mashehe waachiwe kama ilivyotokea. Wameachiwa na watu wasiojulikana kwani hata mawakili hawakutaarifiwa walisikia tu mashehe wa au wateja wenu wameonekana mitaani.
Wazanzibari wanahitaji au walihitaji haki itendeke, mahakama iliyopewa dhamana iendeshe kesi kililahi bila...
GAZETI LA SERIKALI “HABARILEO” HALIJUI KAMA MASHEIKH WAMEACHIWA HURU
Na Sheikh Ponda Issa Ponda
Takriban Magazeti yote makubwa ya leo habari kubwa ni tukio la kuachiwa huru Viongozi wakubwa wa Dini maarufu kwa jina la “Masheikh wa Uamsho”.
Kwa namna ya pekee gazeti la Serikali halina kabisa...
Sheikh Mselem: Usalama wa Nchi ni jambo linalopewa kipaumbele na sisi tunapenda usalama, furaha ikizidi inaweza ikazalisha kitu halafu mara nyingi kutokana na uzoefu kuna vitu watu wa kati huchomeka.
Inawezekana tumefanya jambo halali, tumeliombea ruhusa serikalini, tukapewa ruhusa lakini kuna...
Bismillahir Rahmaanir Rahiim
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
SHEIKH MSELEM SHEIKH FARID WAKO NYUMBANI ZANZIBAR
Masheikh zetu wawili wako majumbani kwao na familia. Tutaendelea kukupeni taarifa awamu kwa awamu.
Lengo ni kutoa taarifa za kweli na zilizozingatia mambo yote muhimu.
Aidha viongozi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.