mashimo ya mahindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nimeshaandaa Shamba, Nimeshapiga Mashimo ya Mahindi je, naweza kufukia mbegu kabla ya Mvua kunyesha?

    Kwa mujibu wa Mamlaka ya hali ya hewa na majira ya huku niliko, mvua za kupandia zinatarajia kuanza kunyesha wiki ya Tatu ya mwezi March ambayo ishafika mimi nimeshaandaa shamba na nimeshapiga Mashimo na nimeshanunua mbegu. Je, naweza kufukia mbegu kabla ya mvua kunyesha? Nahofia nisije...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…