Wakuu habari,
Hapo juu mada imejieleza ila nahitaji kujua utofauti na ubora wa mashimo yetu ya vyoo, maana hivi karibuni kumeibuka technolojia mpya ya uchimbaji wa mashimo ya vyoo (vyoo vya kisasa) ambavyo mashimo yake huwa ni mafupi yenye urefu wa futi 6, ikiwa inambatana na shimo lingine...