Rais Samia Suluhu Hassan, anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye mashindano ya dunia ya kusoma Quran Tukufu, yatakayofanyika nchini katika Uwanja wa Benjamini Mkapa Februari 23, mwaka huu.
Akizungumza na vyombo vya habari, jijini Dar es Salaam, Makao Makuu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania...