Wakuu kwani mashindano ya olimpic yameisha? Kulikuwa na nyuzi tele humu za kuwafagilia watanzania walioenda kwenye mashindano. Mlikua mna mbwembwe wakati mnaenda ila sasa hivi kimyaaa 😂😂
Pia soma: Mwanariadha Alphonce Simbu amaliza nafasi ya 17 Olimpiki Jijini Paris, Ufaransa
Hiki kimya chenu...
Wakati sherehe za kufunga michezo ya Olimpiki zikifanyika mjini Paris, wanariadha watatu wa DR Congo wametoweka tangu Jumapili hii, siku ya mwisho ya michezo ya 33 ya Olimpiki.
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ilishiriki katika matukio manne (Judo, kuogelea, riadha na ndondi) nchi hiyo...
Leo aubuhi nimefuatilia shindano la Olympic kule Paris la mbio ndefu ya kilomita 42 na mwanariadha Ndugu Simbu akiwa mshiriki toka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa kweli matokeo yake hayakuwa mazuri kwa kushika nambari 17 akitumia saa 2:10: 03
katika mbio hizo. Pole sana. Rudi nyumbani...
alphonce simbu
gabriel gerald geay
marathon
mashindanoyaolimpiki
mwanariadha
olimpiki paris 2024
olimpiki ufaransa 2024
tanzania
ufaransa
wanariadha wa tanzania
UPDATE: Tangu kuanza Kushiriki Olympics (1964), Tanzania ilipata Medali 2 tu za Fedha (Silver) kupitia Filbert Bayi na Suleiman Nyambui huko Moscow (1980). Leo Julai 29, 2024, Mcheza Judo Andrew Mlugu leo anatafuta Medali ya 3 akikabiliana na Joan-Benjamin Gaba (23) wa Ufaransa
Mlugu (28)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.