Habar,
Ni matumaini yangu wazima wa afya wapi naweza kupatta mawasiliano na wahusika wa hizo mashine nataka niwe wakala wao mawasiliano plz jamani
Ni hayo tu mabibi na mabwana muwe na ijumaa njema
Wakuu kwema?
Hiki kipengele kinasumbua sana. Yani unahitaji risiti ambayo ina tin halafu muuzaji anakwambia mashine haina option ya tin. Hapo ili tu asisumbuke kwa kuwa hajui hiyo hatua.
Pia mashine zenyewe ziko aina tofauti kiasi kwamba procedure za kutoa risiti zinatofautiana.
Sasa muuzaji...
Ni mashine ya kukaanga karanga.
Nataka kuinunua hii kwa ajili ya biashara, natamani kujua ulaji wake wa gesi upoje, yaani kwa mfano mtungi mdogo wa kilo tano unaweza kukaanga karanga debe ngapi.
Lakini pia natamani kufahamishwa nisiyo yafahamu kuhusu hii mashine.
Tunakodisha mashine na mitambo mbalimbali kwa bei nafuu.
Mashine zetu zinapatikana kwa muda wa masaa 8 tu.
Pia, tunatoa huduma za lowbed. Bei zetu ni kama ifuatavyo:
Wasiliana nasi:
0694185384
0623593536
Ushauri wa Maboresho kwa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA, maandishi yote yaandikwe kwa kuchomwa au kwa kutumia Permanent Ink for plastic ili yasifutike kwa haraka
Ili kuboresha vitambulisho vya Taifa vidumu kwa muda mrefu zaidi kuna haja ya maandishi kuandikwa na Mashine zenye uwezo wa...
Kwema wakuu?
Kama ambavyo wengine tumeifanya jf kuwa google na chatgpt wa kikwetu kwetu.
Naulizia wapi nawezapata mashine ya Embroidery vichwa vitatu?
Kwa maana nyingine naulizia duka linalouza mashine kwa hapa Dar.
Asanteni
Heavy duty compound miter saw, mashine ya kukata aluminium, chuma, mbao, shaba, PVC n.k
● Powerful- 2400W
● Msumeno Inchi 10
● Ina laser positioning
● Inabend kushoto na kulia 45°
● Inakata upana wa 9cm
● Inaslide urefu 34cm
● inaweza kazi kwa muda mrefu
Angalia picha zake na video hapo chini...
Zipo mashine tatu za kuchakata maji kuwa safi.
Kila mashine ina uwezo wa kuzalisha lita 250 kwa saa na inatumia mfumo wa coin katika uendeshaji.
Mashine zote zipo katika hali nzuri (used) na zinapatikana Dar es Salaam.
Bei ni TZS 6,000,000 kwa kila moja.
Kwa wateja wa mikoani, tunatuma...
Mashine hii portable itakusaidia kufungua au kurahisisha biashara yako ya unga wa lishe, sembe, dona n.k
Inatumia umeme wa nyumbani tu na ina uwezo wa kusaga kilo 300 kwa saa na kukoboa kilo 200 kwa saa.
Complete na mota na kila kitu bei ni million 2 tu.
Tupigie 0636751473
Mbezi mwisho (mbezi...
Elimu:Elimu ya juu(A - LEVEL)
Ujuzi: VETA na SIDO.
Makazi: Dar
Naweza fanya Kazi: Popote
Ujuzi wangu wa miaka zaidi ya minne(4) unajumuisha:
*Uundaji wa mashine za kutotoreshea vifaranga wa ndege (Incubators)
*Uundaji wa mashine za kukausha mazao na samaki
*Uundaji wa mashine za kugandisha...
Kumekuwa na huu utaratibu wa kuweka mashine ambapo mteja anatakiwa kuchukua coupon na kusubiri kuitwa ndio apate huduma; Naomba kupata maoni yako
1. Kama unazipenda au kama huzipendi na kwa nini?
2. Je zinapunguza muda wa kusubiri huduma ya Bank au Zinaongeza?
3. Nini kiboreshwe?
Kazi ya tekinolojia ni kutatua changamoto za kijamii,hasa zile zinazokumba shughuri za uzalishaji mali.
Najua kuna changamoto umesha wahi kukutana nayo,na ukatamani uwepo wa kifaa flani kutatua changamoto hiyo.
Au kifaa hicho kipo ila ni gharama sana hasa kuagiza nje ya nchi.
Wazo lako ni...
Ili kukabiliana na gharama kubwa ya huduma ya dialisisi kwa wagonjwa wa figo, Serikali imeingiza nchini mashine mpya aina ya SWS 6000 ambazo zimewezesha zishuke kutoka Sh250,000 mpaka Sh150,000.
Mashine hizo moja ina thamani ya Sh31.76 milioni ambazo tayari zimefungwa katika hospitali za rufaa...
Naomba mchanganuo wa gharama za kupata mashine ya kukoboa na kusaga fully Kwa DSM kwa mahitaji ya kijijini hasa iwekwe mkoa wa Tanga,karibuni wadau wazoefu kwa ushauri mnipe mwanga wa upatikanaji wa vifaa, gharama zake nk
Uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO) Desemba 19, 2024 umetembelea Mradi wa Kufua umeme wa Bwawa la Julius Nyerere kujionea kasi ya maendeleo ya ujenzi unavyoendelea na kuweka mkazo kwa wasimamizi kuhakikisha usimikaji wa mashine nne zilizobakia unafanyika ipasavyo ili umeme...
*Natengeneza na Ku-repare mashine au mitambo mbalimbali iliyokufa saketi zake za kielectronics na hivyo kushindwa kufanya kazi.
*Nahusika na mifumo ya kielectrical na Electronics tu,sihusiki na mchenical parts.
*Pia kama unahitaji kuundiwa au kuunda mfumo wa kielectronics kwa Jili ya kuendesha...
Wadau salaamu!
Naomba muongozo wapi nitapata mashine ya mashine ya kubangua karanga ya umeme na isiyokata karanga wakati wa kupangua. Brand ipi inafaa na wapi nitapa kwa wanaojua. Asante sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.