mashirika ya kimataifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiCheck

    Ukutanapo na taarifa za uwepo wa zawadi za pesa kutoka Mashirika ya Kimataifa, thibitisha kwanza kutoka vyanzo sahihi

    Upotoshaji hufanyika kwa njia nyingi ikiwemo kusambazwa kwa jumbe zinazodaiwa kuwa ni zawadi zinazotolewa na Mashirika ya kimataifa kama vile UNICEF na mengine. Ukutanapo na taarifa za aina hii hakikisha unathibitisha kuona kama ni kweli imetolewa na chanzo husika ili kufanya maamuzi yaliyo...
  2. Mapenzi ya Mungu

    NGO za Marekani

    Ajira ngumu tuanzishe NGO vijana zinalipa hata USA zipo!? Wakija Sanasema hata Tanzania zipo chagua mlengo wa NGO na anzisha NGO sasa Social Development Issues Disability Conference of States Parties to the Convention on the Rights of Persons with Disabilities (COSP) List of Non-Governmental...
  3. Waufukweni

    Pre GE2025 John Heche: Tumeamua kuhakikisha kwamba uchaguzi haufanyiki. Tutawashirikisha Viongozi wa dini, mashirika ya kimataifa, balozi na NGO's

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche akizungumza kupitia East Africa Radio leo Feb 27, amesema; "Katika mazingira yaliyopo hatutashiriki na uchaguzi hautafanyika, tumeamua kuhakikisha kwamba uchaguzi haufanyiki" Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa...
  4. The Watchman

    Trump atia saini amri ya kujiondoa kwa Marekani kutoka mashirika ya Umoja wa Mataifa

    Rais wa Marekani, Donald Trump, Jumanne alitia saini amri ya kujiondoa kwa Washington kutoka mashirika kadhaa ya Umoja wa Mataifa, yakiwemo Baraza lake la Haki za Binadamu (UNHRC), huku akianzisha mapitio mapana ya ufadhili wa Marekani kwa taasisi hiyo ya kimataifa Amri hiyo ilitangaza...
Back
Top Bottom