Waziri wa Uchumi Prof Kitila Mkumbo amesema kuna mashirika 304 nchi nzima lakini yaliyotoa gawio ni 145 tu na 159 hayajatoa.
Kitila amesema jumla ya Gawio ni tsh 637 billion ambapo tsh 8.8 billion ni Gawio kutoka kwenye Faida( Dividend) na tsh 358 billion ni Michango na ifikapo June 30 Gawio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.