Mama Samia anafanya kweli, hayumbishwi hata kidogo. Hakuna tena longolongo ya kuitwa "mashirika ya umma" huku yanabaki kuwa kichaka cha wapigaji wachache. Mama amesema Arusha, mashirika ya umma yawe ya umma kiukweli, Watanzania wauziwe hisa na wawe na kauli nayo.
Kama mama Samia alivyofanya TPA...
Mashiirika ya umma kama vile Kibaha Education Centre yanayomiliki shule, walimu wake hutumia ngazi za mishahara za PSTS tofauti na walimu chini ya Tamisemi wanaotumia ngazi za TGTS. Mwalimu anayeanza huko kwenye mashirika huanzia PSTS 3, wakati huko Tamisemi huanzia TGTS D1 771,000/= kwa mwezi...
Mashiirika ya umma kama vile Kibaha Education Centre yanayomiliki shule, walimu wake hutumia ngazi za mishahara za PSTS tofauti na walimu chini ya Tamisemi wanaotumia ngazi za TGTS.
Mwalimu anayeanza huko kwenye mashirika huanzia PSTS 3, wakati huko Tamisemi huanzia TGTS D1 771,000/= kwa...
Rais Samia amesema anasubiria ripoti ya Timu aliyoiunda Kupitia mashirika ya Umma yanayoripoti Kwa Msajili wa Hazina Ili juyafutilia mbali Yale ambayo hayana Tija Wala faida. Amesema Mashirika Yatakayokufa basi wahusika wajiandae kufa nayo.
“Serikali tumeamua kufanya tathmini ya utendaji wa...
Ni uchungu sana kuona kwamba rasilimali za taifa, mashirika ya umma na hata utu na uhuru wetu unaendea kuchezewa na wachache au yeyote atakayepewa mamlaka ya urais wa nchi hii. Yaani yeye na watu wake kwa kipindi chake.
Kila rais anayeingia madarakani hupiga pake na kutulia kimya akijua...
Namfuatilia hapa mubashara kwenye mtandao. Msajili wa Hazina Bw. Mchechu anasema ni wakati muafaka sasa Mashirika ya Umma kuanza kuchapisha taarifa zao za Utendaji za Mwaka. Hii ni nzuri. Ila ziwe genuine tu. Tusisubiri Ripoti ya CAG. Ukitazama Private commercial institutions kama Banks...
Mimi nashauri kwamba serikali isiyoweza kusimamia vyema mali za Watanzania ndiyo inayotakiwa kufutwa.
Maana yake ni kwamba hawa viongozi hawana uwezo wa kuwatumikia waTanzania kwa kuacha mali zao zipotee bure. Kuna sababu gani za wao kuendelea kuwa madarakani?
Shirika ulilokabidhiwa...
Sierra Leone Alhamisi imepitisha sheria inayolazimisha mashirika ya umma na kibinafsi kutenga asilimia 30 ya kazi zao kwa ajili ya wanawake, katika juhudi za kukabiliana na ukosefu wa usawa wa kijinsia katika jamii inayopendelea wanaume.
Rais Julius Maada Bio alisaini mswada huo kuwa sheria...
Sasa hivi ni mwendo wa ajira portal. Hakuna cha kusubiri uteuzi kama ilivyokua
https://www.jamiiforums.com/threads/waziri-nchemba-napendekeza-wakuu-wa-mashirika-ya-umma-wafanyiwe-usaili-kwa-ushindani-badala-ya-teuzi-kama-awali.1992080/
Hivi haya mashirika ya umma huwa yanawapataje watumishi wake, au huko kwenye hayo mashirika huwa hakuna watu wanaostaafu au kufa ili nafasi zibaki wazi?maana sijawahi kukutana na matangazo yao ya kazi kabisa
1. NSSF
2. NHIF
3. PSSSF
4. TCRA
5. WCF
6. MSD
7. TPDC
8. TIC
9. NGORONGORO CONSERVATION...
Taarifa za Maendeleo ya Uchumi zimeonesha Taasisi za Umma zimeongeza kukopa nje ya nchi ambapo Oktoba 2020, Taasisi za Umma zilikuwa zinadaiwa Dola Milioni 51.7 (Tsh. Bilioni 119.1) na Oktoba 2021 limekuwa hadi Dola Milioni 509.5 (Tsh. Trilioni 1.174)
Deni la Taifa limeongezeka kwa Tsh...
Kumekuwa na utamaduni mbaya wa bodi nyingi za mashirika ya umma kutokujua wanatakiwa kufanya nini. Bodi nyingi wanaona kuwa mjumbe ni kama biashara ya kupata pesa bure za vikao, kumwendesha mkurugenzi wapate wanachotaka, kuweka watu wao kwenye tenda za vitu mbali mbali. Tumeona hii TPDC...
Kuna watu wabinafsi na walaku wa mali kupindukia ambao badala ya huo ulaku na ubinafsi kuutumia kutafuta mali zao wanafikiria kupora mali za umma.
Ubinafsishaji wa mashirika mengi ya umma ulifanyika awamu ya mkapa. Yapo yalibinafsishwa vizuri na yapo mengi vigogo waliyapora wala hawakuyaendeleza...
Habari wana bodi, nimekuwa nikisoma baadhi ya articles zinazo ongelea mchango wa vyuo vikuu marekani katika uchumi wa taifa hilo especially kutengeneza innovators "silicon valley".
Kwa kiasi kikubwa maendeleo ya taifa la marekani yamechangiwa sana na innovations zinazofanywa na taasisi zake za...
Utangulizi.
Kumekua na malalamiko mengi pamoja na changamoto katika huduma ambazo zinatolewa kwe Taasisi na Mashirika ya serikali kama vile elimu duni katika shule za umma, matibabu duni na ukosefu wa vifaa katika hospitali za umma, taasisi za fedha, mifuko ya hifadhi za jamii,vyombo vya...
Ninaandika mada hii kwa masikitiko makubwa sana,ofisi za umma,mashirika ya umma na taasisi zake tanzania hazitumia simu za land line ili kuwahudumia wananchi.
Matokeo yake viongozi,watendaji wa serikali wanatembea na ofisi zao mifukoni mwao. Wawekezaji wanatafuta simu za maofisi wakiwa nje...
Mwaka 2016 nilienda Tanzania baada ya kukaa muda mrefu US. Rafiki yangu ambaye nilisoma naye Primary alikuwa ndiyo auditor mkubwa pale MSD hivyo bila mimi kujua aliongea na Managing Director kuhusu kupata watu wenye ujuzi na kampuni za kusambaza madawa kama MSD
Wakati na maongezi yao yule...