Wakuu kichwa cha habari nadhani kinajieleza vya kutosha.
Hakuna uharibifu wowote nilioupata upande wa vifaa kutoka na "Hitilafu" hii ya umeme lakini dili zangu zinaharibika sababu ya hitilafu hiyo.
Kazi nyingi zinategemea umeme, unapata dili fresh, unapokea advance na kazi inabidi ikamilike...