Victoria amazonica inayopandwa katika Bustani ya Mimea ya Kitropiki ya Xishuangbanna katika Akadamia ya Sayansi ya China imeingia katika kipindi bora cha kutazama maua yaliyochipuka, na kuvutia watalii wengi kutoka kote nchini kuangalia na kupiga picha