Katika documentation ya maisha yake, inasemaakana huyu simba aliua fisi karibia 400 na Madume wa simba 130.
Alijulikana kwa ujasiri wake na nguvu kubwa ya kupigania ngome yake kwa muda mrefu sana iliopelekea kuwa na kovi usoni mwake hadi kupachikwa jina scarface.
Alivutia sana watalii pale...
Unapopenda show off kuonyesha ndinga kali mitandaoni hakikisha kwenye mfumo wa mamlaka ndinga Yako haina vipengele yaani physical na rekodi Zinafanana other wise unawapa watu kazi za kufanya na wanachukia mnavyojificha kwenye kivuli cha chawa wa mama.
More Focus ni kwa wale mnaofanya import...
MTAMBUE SHEMSA MOHAMED M/KITI CCM MKOA WA SIMIYU KATIKA MEZA YA VIONGOZI MASHUHURI WA KISIASA DUNIANI
Ameandika Comrade Msauzii (0769086992)
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed Seif amekuwa kiongozi bora katika kukijenga chama cha Mapinduzi. Juhudi zake zinafananishwa na...
Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe
Sasa shughuli inabaki kwetu kama sio Ally bhasi ni Nasibu, maana ndiyo sifa walizotajwa nazo.
Nawatakiwa Asubuhi Njema
bongo
bongo fleva
diamond
diamond platinumz
kabla
kifo
kutoka
mashuhuri
mkubwa
msanii
mtumishi wa mungu
mungu
mwaka
mwanamuziki
nchi mbalimbali
nyota
tanzania
wachungaji
wawili
Kuna wakati tunashindwa kujua walipo watu maarufu.
Pengine kwa sababu ya shughuli nyingi za Kitaifa tunashishwa kuwasikiliza kwenye vyombo vya habari pindi wanapokuwa wanazungumza.
Binafsi, kuna watu kama
John Mnyika: Huyu ni Katibu Mkuu wa CHADEMA. Zamani mwanzoni mwa miaka ya 2000 hadi 2015...
Rigobert Bamundele (28 Agosti 1955 - 26 Oktoba 2023), maarufu kama Rigo Star, alikuwa mpiga gitaa na mtunzi wa soukous kutoka Kongo. Alicheza na makundi kadhaa maarufu ya soukous na muziki wa dunia, ikiwa ni pamoja na Viva La Musica ya Papa Wemba, Anti-Choc ya Bozi Boziana, Kanda Bongo Man...
Wanaukumbi.
Israeli ilikata pumzi yake ya mwisho
Chini ya mada hii, gazeti la Kiebrania "Haaretz" lilichapisha makala ya mwandishi mashuhuri wa Kizayuni (Ari Shavit), ambamo amesema: Inaonekana kwamba tunakabiliana na watu wagumu zaidi katika historia, na hakuna suluhu kwao isipokuwa tu...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ( CCM) kata ya Ulowa wilayani Kahama mkoani Shinyanga, Safari Manjala amejiua kwa kujipiga risasi shingoni asubuhi ya leo.
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga limethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambalo chanzo chake hakijajulikana.
----
Jeshi la Polisi mkoani...
Uuzaaji wa siroli (syrup) ulikuwa heshima kwa zawadi na vipaji vya mwanamke huyu. Sasa vizazi vijavyo hawatamtambua mwanamke huyu mzuri aliyekuwepo. Ni aibu.
Dunia ilimfahamu kama "Bibi Jemima," lakini jina lake halisi lilikuwa Nancy Green na alikuwa kielelezo cha mafanikio ya kweli ya...
Update ya Msiba wa Mwana JF Mwenzetu, William Malecela (Le Mutuz).
Kwanza natoa pole sana kwa familia ya Mzee John Malecela kwa msiba mkubwa na mzito wa mtoto wake, William Malecela, kwa jina maarufu Le Mutuz, aliyefariki leo asubuhi jijini Dar es Salaam. Msiba upo nyumbani kwa Baba yake Mzee...
Mwishoni mwa miaka ya 1980, Benki Kuu ya Tanzania ilitoa noti ya Shilingi Mia Mbili. Noti hii maarufu upande wake mmoja ulikuwa na picha ya wavuvi wawili wakiwa wamebeba samaki mkubwa wakiwa wanaelekea nchi kavu.
Najua wengi wetu hatufahamu kwanini iliwekwa picha ya wavuvi wale? Basi jua...
#SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA CCM.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa taarifa ya kifo cha Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam na kada mashuhuri wa muda mrefu Komredi Agathon Simba Ulanga.
Sophia Edward Mjema, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa...
Afisa mmoja mwandamizi wa Ukraine amesema Urusi inajiandaa kwa "mojawapo ya mapambano makali" katika eneo la kimkakati la Kherson lililoko kusini mwa Ukraine.
Haya yanafanyika wakati ambapo Urusi inajiandaa kuutetea mji mkubwa ulio chini ya udhibiti wake nchini humo.
Wanajeshi wa Urusi...
Mkosoaji mashuhuri wa Serikali ya Rais Julius Maada Bio ameuawa wakati wa uvamizi wa polisi waliokuwa katika msako wa wahusika wa maandamano ya Wiki iliyopita, na kuzua wasiwasi mkubwa kuhusu mauaji ya kiholela na shutuma za kuwalenga watu wa upinzani
Kulingana na polisi, Hassan Dumbuya...
Binafsi mimi na watoto wangu hupenda kuangalia vipindi vya ITV kwa sababu vingi ni vizuri hata kwa watoto.Kwa muda mrefu tulizoea kuangalia tamthiliya ya uzalo saa 1:30 jioni,kifupi tamthiliya hii inafaa hata kuangaliana watoto kwa sababu muda huo hata watoto wanakua hawajalala.Cha kushangaza...
Wakuu habari,
Nimekaa nikawaza humu JF wengi tunatumia majina na profile pic zisizo halisi. Lakini nikawaza pia tunaweza kufanana na watu fulani mashuhuri kama wanasiasa, wana michezo, wanamuziki n.k
Ebu tuambie na wEwE unafanana na mtu gani mashuhuri hapa duniani, binafsi mm nafanana sana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.