Leo majira ya saa 10:15 jioni pale katika dimba la LAKE TANGANYIKA Kigoma, Mabingwa watetezi wa NBC PL, YOUNG AFRICAN SC watashuka dimbani kupepetana vikali dhidi ya wenyeji wao MASHUJAA FC!
usikose kufuatilia mchezo huu kupitia Azam Sport HD2 na kupitia TBC Taifa kwa matangazo ya Radio...
Kesho, Alhamisi Disemba 19, 2024, mashabiki wa soka watashuhudia Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga na Mashujaa, mechi ambayo itaamuriwa na Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Sady Mrope. Mwamuzi huyu, ambaye pia ni miongoni mwa waamuzi waliothibitishwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), tarehe 02 Oktoba 2024, amekabidhiwa Jezi ya Timu ya Mpira wa Miguu ya Jeshi la Ulinzi wa Wananchi Tanzania, maarufu kama Mashujaa.
Match Day
Mashujaa Fc π Azam Fc
π #NBCPremierLeague
π Saa 10:15 Jioni
ποΈ 29.09.2024
ποΈ Lake Tanganyika
Nb: Tutawakumbusha kazi wanayoweza kuifanya tofauti na kabumbuπ¦π¦
Mashujaa ndio sisi.
KIKOSI CHETU KINACHOANZA.
KIKOSI CHAO KINACHOANZA LEO.
Updates...
Dakika 10'
0-0
HALFTIME...
Beki wa kati, Lameck Elias Lawi, ameanza rasmi leo katika kikosi cha Coastal Union kinachocheza dhidi ya Mashujaa FC, mechi ya ligi kwenye uwanja wa KMC Complex.
Lawi amejiunga na Coastal Union baada ya majadiliano ya muda mrefu kati ya Simba Sports Club na Coastal Union, ambapo Simba ilikubali...
ahmed ally
coastal union
dhidi
kikosi
lameck lawi
mashujaamashujaafc
simba
simba sc
soka la bongo
union
usajili wa lameck lawi
yanga 2-1 simba
yusuph kagoma
Timu hii kule nchini Ujerumani inacheza daraja la 6 (Verbandsliga Hessen SΓΌd) wakati huku team ya Mashujaa ilikuwa inacheza daraja la kwanza, hapa ameula au hoya hoya Wakuu?
====
Aliyekuwa mshambuliaji wa Mashujaa FC, Athuman Masumbuko 'Makambo Jr' amejiunga rasmi na Klabu ya 1.FCA Darmstadt...