Leo majira ya saa 10:15 jioni pale katika dimba la LAKE TANGANYIKA Kigoma, Mabingwa watetezi wa NBC PL, YOUNG AFRICAN SC watashuka dimbani kupepetana vikali dhidi ya wenyeji wao MASHUJAA FC!
usikose kufuatilia mchezo huu kupitia Azam Sport HD2 na kupitia TBC Taifa kwa matangazo ya Radio...