"Mwombeni BWANA mvua wakati wa masika, naam, BWANA afanyaye umeme, naye atawapa manyunyu ya mvua, kila mtu atapewa nyasi kondeni", Zek 10:1 SUV.
Maelezo ya kina kuhusu andiko hili tunayapata zaidi kwenye kitabu cha Hosea, tutaweza kufahamu zaidi kile ambacho nabii Zekaria alikiimaanisha hapa...