HISTORIA YA KANISA LA AYA SOFIA
Kanisa Lililogeuzwa Kuwa Msikiti Baada ya Kutekwa kwa Mji wa Konstantinopoli
Kanisa la Aya Sofia, lililojengwa wakati wa Ufalme wa Byzantine, lilikuwa ni miongoni mwa majengo muhimu zaidi ya kidini katika historia ya Ugiriki ya zamani. Mji wa Konstantinopoli...