maslahi binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Kumbe kelele kubwa ya Rais Ramaphosa wa SA kwa Kagame kuhusu Congo inachagizwa na maslahi binafsi pia!

    Wakati watu wanashanga ujasiri wa Kagame kutupiana maneno na Ramaphosa wa SA kuhusu mgogoro wa Mashariki ya DRC, mtandaoni kuna lawama chungu nzima za raia wa Africa Kusini wakimlaumu rais wao Ramaphosa kuongozwa na maslahi ya makampuni binafsi na yake mwenyewe kupeleka majeshi Congo. Baadhi ya...
  2. Bob Manson

    Maslahi binafsi yanayohujumu harakati na maisha ya vijana

    Huwenda nimechelewa kufahamu hili kwasababu ya umri wangu na uzoefu wangu, nimegundua Tanzania hakuna upinzani wa kweli. Vijana wanapoteza maisha yao, wanaumizwa hata kupotezwa, yote ni kwasababu ya kupigania haki sambamba na kuwa upande wa upinzani, ajabu viongozi wao wanafanya mambo kwa...
  3. Nehemia Kilave

    Wapinzani wangeliungana na Hayati Magufuli hakika tungelikuwa tushapata Tanzania Mpya, tatizo ni maslahi binafsi

    Binafsi naamini Tanzania Mpya itatengenezwa kwa kuudhoofisha mfumo imara wa CCM na kupata katiba Mpya. Hayati Magufuli alijaribu mpaka wana CCM wengi wakamchukia, wapinzani hawakumuelewa na yeye akaamua kuwabadilikia . Laiti kama Upinzani ungezungumza lugha Moja na Magufuli ndani ya kipindi...
  4. Z

    Luhanga Mpina hana maslahi anayowapigania Watanzania zaidi ya mabifu yake binafsi

    MATENDO NA TABIA za Bwana Luhanga Mpina ni kama mbwa mzee ambaye amejichokea kuishi sasa anatafuta sababu za kufa ndiyo maana anajilaza barabarani kila mara ili magari yamkanyage afe lakini yanamkwepa ndiyo maana haachi kubwekabweka kila dakika. Luhanga Mpina ni moja ya mawaziri wa hovyo sana...
Back
Top Bottom