NCHI HII HAINA USAWA KABISA.
Nafasi zote za juu huteuliwa wao na familia zao au jamaa zao au rafiki zao. Mwananchi maskini kutoka Shishiyu wilayani Maswa mkoani Simiyu ambaye hana unasaba wala uswahiba na Kikwete, Nauye, Makamba, Samia au koo zao au rafiki zao au chama chao KAMWE HAWEZI...